TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 216
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari.
Safari ilianza kwa kumpeleka saluni Queen Alfred (fan wa TECNO Instagram) kwaajili ya kufanyiwa makeup.
Mwonekano wa Bi. Queen baada ya kufanyiwa make up
Hii ni maarufu kama Blind date yaani kukutanisha watu wasiofahamiana wawe marafiki waweze kubadilishana mawili matatu.
Hivyo Baada ya mwanadada Queen kupelekwa saluni, upande wa mwanaume naye alipelekwa duka la nguo kwa gharama za TECNO kwaajili ya mavazi murua! Huyu ni mteja wa TECNO Camon 12 ambaye ni Bw. Kalebo.
Mwonekano wa Bw. Kalebo baada ya kuvaa nguo
kwenye moja ya maduka maarufu ya nguo.
Baada ya hapo walipelekwa Hoteli maarufu kwaajili ya kupata chakula cha usiku yaani 'dinner' bila kufahamiana na hatimaye TECNO ilimkaribisha mmoja baada ya mwingine kwenye meza maalum iliyokuwa imeandaliwa. Hapa ndipo walipofahamiana.
Kalebo na Queen Alfred washindi wa TECNO Blind date wakipeana maua ishara ya kuanza kufahamiana baada ya kukutanishwa bila wao kufahamiana.
Shughuli ya chakula baada ya kuisha, kila mmoja alipelekwa kwake. Je, Kalebo na Queen wameendelea kuwasiliana kuimarisha urafiki au la? Endelea kuwa nasi, ipo siku tutaleta
mrejesho😊😊
Katika Valentine ya 2019, TECNO iliwapeleka wateja wake kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko bila wao kuchangia gharama yoyote. Mpaka sasa TECNO inaendelea na kampeni ya kuwapandisha wateja wake kwenye helikopta mwezi Machi.