ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,211
Mimi bwana
Nikizoeana na mtu tu au ndugu ananiniomba ni msaidie namsaidia baadae ananiomba nimkope namkopa HANILIPI basi tena naona kama urafiki utakuwa wa mashaka naamua kunitenga tu
Sasa nimejikuta sina amani kabisa ya kuzoeana ,Nina marafiki wengi kwenye biashara na kazi ila sina rafiki wa karibu mpya.
People take me for granted,mi najitenga nao.
Kama mtu hajawahi kuwa kwenye maisha yako kipindi una njaa basi hakikisha humuweki karibu wakati una hela labda km ni win win relationship
Mama ako msaidie ukiw ana uwezo sababu ni mama ako ila don’t feel guilt kusema Noooooooo