Hawadanganyikii hao!!!

Mi naona hawa wanawake wamefundishwa na wanaume.

Mwanzoni kabisa JF ilikua ina wanawake wachche sana.

Wameingia humu wakajifunza from their brothers.

Tatizo they are smarter than their brothers and they can multitask.
 
Mnaotafuta wachumba jf muwe na maelezo yenye shibe humu wanawake wa jf wameitimu Bagamoyo chuo cha sanaa nawengine wapo Nyumba ya sanaa!!Hivyo kuweni makini msijekuta mnanachumbiwa wenyewe!!

Ulikamatishwa masikio eeeh...!
 
Unafikiri chiriku mzee hunaswa kwa makapi!
 
mhandisi usanii nilipata shahada yake Havadi Yunivasiti.....he he.....ulikosekana sana ujue.....

teh teh teh!mhandisi nami niliwakosa kikubwa! Ks tutamit up!mi nataka nikufadhili uende kozi zaidi ya usanii
 
Kakakiiza,tunachumbikika bana,mbona unatupeperushia vindege?mbona mi nimebahatikwa mumuhumu:love:
 
Kakakiiza,tunachumbikika bana,mbona unatupeperushia vindege?mbona mi nimebahatikwa mumuhumu<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/love.gif" border="0" alt="" title="Love" smilieid="220" class="inlineimg" />
Kaa mkao wakutokuwa na macho maana siku akiyanyonya hayo macho usije hapa kutafuta msaada!
 
Umeona simchezo humu kwanza wewnyewe tunaogopana utadhani Most wanted!!Je huyo mchumba unampataje inabidi ujipange kwelikweli!

Afadhali
hata uwaeleze
hawa wanaongia na
poster ya kwanza "anatafuta"

Kuna wengine
wamo humu kwa muda wako single
wametulia tu..wanaangalia mienendo
kwanza..mtu kama huyo hata mie naweza
mpa chance..hahah lol
 
Mi naona hawa wanawake wamefundishwa na wanaume.

Mwanzoni kabisa JF ilikua ina wanawake wachche sana.

Wameingia humu wakajifunza from their brothers.

Tatizo they are smarter than their brothers and they can multitask.
Duh!! Hii ina ukweli??? I didn't know
 
Afadhali
hata uwaeleze
hawa wanaongia na
poster ya kwanza anatafuta
Kuna wengine
wamo humu kwa muda wako single
wametulia tu..wanaangalia mienendo
kwanza..mtu kama huyo hata mie naweza
mpa chance..hahah lol
Asante mumy mimi kufikiriwa nafaa???..lolz
 
Humu kama mtu ni mtu mzima...
Litakalo kukuta ni haki yako.....

Kuwa member wa jf hakumfanyi mtu kuwa bora zaidi ya watu wa mitaani....
 
Nahisi Mzee wa Tgt umeingizwa chaka. Hope Diana Dabo diff amekutenda
Ahaaaaaa!mimi mzee wa subra sijatendwa ila hawa suravitabu nawaonea huruma kwakasi za wachumba ndani ya jf wakitegemea kupata ada!kumbe wao ndio watalipa kt mtoz na bia kwa sana bila kuambulia!.....!
 
Back
Top Bottom