Hawa wenzetu Wa-Asia wanatuzidi nini?

Usiamini utombo huo!! Usifilisi akili...
Basi waChawi wangeongoza ubilionea!
Na huu uzi usingekuwepo!
Ndicho cha kujiuliza....nani Dunia hii atagawa utajiri halafu asiwe tajiri??

Kama ni huu uchawi ambao nimeona watu wanaambiwa leta milioni 10 tuizalishe iwe milioni mia kisha wanatapeliwa hiyo 10 millionia basi tunadanganyana.
 
Mswahili anafanikiwa kwa kumrogezea mwenzake asifanikiwe, hivyo sisi hatufanikiwi kwa sehemu kubwa sababu ya kijicho pembe...
 
Ndicho cha kujiuliza....nani Dunia hii atagawa utajiri halafu asiwe tajiri??

Kama ni huu uchawi ambao nimeona watu wanaambiwa leta milioni 10 tuizalishe iwe milioni mia kisha wanatapeliwa hiyo 10 millionia basi tunadanganyana.
Hahaha... kumbe jibu unalo eeeh?
Unyanganyi, Wizi,Dhulma,Ughushaji hauleti maendeleo au mafanikio ya Long term..
Tujirudi natujitathmini ....Mungu asamehe
 
Kwa hiyo mkuu unasema kuna nguvu kubwa nyuma ya mafanikio tunayoyaona??

Wanapata wapi uchawi?
Halafu ajabu ni kwamba hawa Waasia waganga wao wakubwa ni masheikh wa Kibongo walioshindwa kuwapa utajiri wabongo wenzao.
Nazungumzia jambo ambalo ninalifahamu sio porojo tu
 
Mimi nataka nione mtu aliyetajirika kwa uchawi anionyeshe biashara zilizosimama aniambie nimepata hii mali kwa uchawi.

Uchawi unamsaidiaje mtu kupata utajiri???
 
Kwanza Wana discipline na pesa
Umewahi waona bar wakitoa offa?..

Pili ni watu wanaojali Imani za makafara
Na kinga za kichawi..
Maduka yote ya wahindi nenda asubuhi kabla
Hawajafungua..wanachoma ubani openly
Wala hawaoni aibu wala kujifungua
Utakuta vibarua wa Swahili ndo wanatumwa
Leta moto ..na kadhalika..

Tatu wanasaidiana..wanakopeshana bila riba kubwa ..na kupeana biashara Kwa Mali kauli..

Nne wakikopeshwa wanalipa mikopo bila usumbufu..

Tano..hawapotezi mda kulalamikia serikali..
Wanacheza nayo Tu hadi kieleweke..

Sio Tu wahindi..tazama wayahudi huko Europe na waarabu na wasomali...same thing
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Halafu ajabu ni kwamba hawa Waasia waganga wao wakubwa ni masheikh wa Kibongo walioshindwa kuwapa utajiri wabongo wenzao.
Nazungumzia jambo ambalo ninalifahamu sio porojo tu
Wewe umefanikiwa kwasababu ya uchawi?
 
Kuongeza kwa wadau, muhindi akitaka bidhaa yoyote, iwe kwa matumizi au kwa biashara anaenda kununua kwa muhindi mwenzake.

Sisi tukiwa na uhitaji wa bidhaa, tukaenda kununua kwa mtu hatumjui ili tusimfaidishe yule tunayemfahamu, hata kama bei ziko sawa.
 
Mimi sijafanya uchawi ndio maana sijafanikiwa.
Hata wewe hujafanikiwa kwasababu hujaaply uchawi.
Au kuna mtu kafanikiwa bila uchawi unamfahamu?
Full of stories.... tafuta uzi mwingine wa kuchangia.
 
Wayahudi ndo wanaongoza Kwa kugeuza biashara kuwa taasisi kubwa..

Partnership..ndo siri ilipo..

Sisi hatujaweza Sana hii partnership..
Hapa ngozi nyeusi,,mmoja katika family akimake,,anawaona wengine hawana akili,,
Wayahudi wanainuana mmoja baada ya mwingine yaani ni chain reaction,
Wakija mjini kwenu,utaona labda anaanza na bucha, ghafla anavuta ndugu kuja kufungua restaurant, hujakaa sawa wanenunua bucha zote mjini na wame monopolise biashara,, hujakaa sawa wananunua almasi na kusafirisha ulaya,mara wamenunua bank,etc etc,,
Ulaya walifukuzwa hawa watu..
 
Mimi nataka nione mtu aliyetajirika kwa uchawi anionyeshe biashara zilizosimama aniambie nimepata hii mali kwa uchawi.

Uchawi unamsaidiaje mtu kupata utajiri???
Hayo ni mawazo ya watu masikini na waliojikatia tamaa Mkuu,
Masikini akimuona tajiri hua anajiaminisha kua tajiri katajirika kwa uchawi au kaiba,yaani anatafuta excuses za kumpa faraja kwa failure zake!
 
Biashara kwa muhindi na mwarabu ni sehemu ya utamaduni. Wenzetu kufanya biashara kumekuwa ni sehemu ya maisha na siyo tu shughuli ya kujiingizia kipato cha kila siku. Leo mtoto wa kihindi hata kama atakuwa yuko shule mnasoma naye, lakini ni lazima atakuwa anapata muda wa kutosha kushinda kwenye duka au ghala la wazazi wake huku akifanya kazi ndogo-ndogo.

Mwisho wa siku huyu mtu anakuwa anapata elimu za aina mbili (Formal and Informal Education), akija kuwa mkubwa atakachokuwa anafanya sehemu kubwa ni marudio ya alichojifunza kutoka kwa wazazi wake. Hili nimelishuhudia sana hata kwa Wachagga wengi. Lakini kubwa zaidi ambalo huwa linakuwepo kwa wenzetu ni utayari wa wanafamilia kutoa mitaji kwa watoto ambao wanaonekana kuweza kufanya biashara.

Lakini sasa wewe ndugu Daby unaweza ukawa ni Massai, lakini sehemu kubwa ya maisha yako umejikita kwenye kusoma (Formal Education) ambayo matokeo yake yanaweza kuja baada ya miaka 14 ya kumaliza shule. Baadae umekosa ajira ndiyo unakumbuka kama wewe ni Massai hivyo unaamua kununua ng'ombe ukitegemea utaweza kufuga, ilhali huna ujuzi wowote wa kufuga (Ulimwacha mzazi wako akafa nao).

Lakini ungekuwa ni massai wa mjini na kijijini naamini kuna vitu vikubwa kuhusu ufugaji ungekuwa unavifahamu kuliko hata mtu wa PhD aliyetoka Sokoine University of Agriculture: AND WHY, it's a generational thing for Massai to be excellent in Pastoralism and Ranching. Hivyo hakuna miujiza, waswahili husema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Kujifunza kwa muda mrefu tena kwa vitendo huku wakisimamiwa na familia: Hii huzaa kijiamini na nidhamu kwasababu huwezi kutumia vibaya fedha ya familia.

KITU KIKUBWA: Utajiri wa kundi la watu (Kabila au dini) mara nyingi huwa ni vizazi (A Genereational thing). Katika matajiri wakubwa hapa Tanzania hasa waashia, utajiri wao unakuwa na mizizi mirefu ya urithi. Watoto hurithishwa kutoka wazazi. Pia huo urithi hauji moja kwa moja, lakini inabidi mtoto autolee jasho na kuupambania kuupata tokea akiwa mtoto ili usije ukapotea. Familia pia huwa tayari kutoa mitaji na ajira kwa wanandugu ambao wanataka kufanya biashara au kujiendeleza.

Marehemu mama yangu aliwahi kuwa rafiki mkubwa sana wa familia ya wakina ABRI ambao ni familia moja na wenye ASAS MILK. Kuna ndugu yao moja hivi alikuwa inabidi apewe sehemu kubwa ya urithi lakini akakosea akaenda kuoa binti wa familia nyingine ya kiarabu: Mama yake aling'aka sana akimwambia mama yangu kwamba yule mtoto hatarithi sehemu kubwa kwasababu anaona mwanamke ambaye siyo ndugu yao. Hii ilikuwa miaka zaidi ya thelathini nyuma na nilivyosimuliwa nikaona nifanya uchunguzi haraka.

Nikagundua wale watoto waarabu mbali na kuzaliwa kwenye familia za kitajiri, sehemu kubwa ya maisha yao ni kufanya biashara za familia. Watu kama Mohamed na Fatma Dewji, ASAS, Freeman Mbowe & The Mengi's wachunguze vizuri maisha yao na utatambua kwamba hawakuanzisha vyao bali waliendeleza walivyovikuta baada ya kufundishwa vizuri na wazazi wao. Sasa sisi weusi mzazi hata viwanja anaficha, mapato yake anaficha na anakuwa na familia mitala ya wake nane hadi tisa: Sehemu kubwa ya malezi anaachiwa mwanamke, hapo utategemea kizazi kifike mbali ? Halafu akifa anakuachia urithi anategemea uundeleze! Uendeleze kwenda wapi ????

Biblia Takatifu inasema hivi: "Fedha na Mali mtu hurithi kutoka kwa baba yake"
Sasa wewe Mkurya mtoto akifika miaka 18 unafukuza nyumbani unasema akatafute zake nishakusomesha.
Tutalalamika sana kuwachukia Wahindi, Waarabu na Wachagga lakini ukweli wenyewe ndiyo huu, wametushinda.
Hapana! Usiwaweke Wachanga kwenye kundi hili la Wahindi na Waarabu kwani kundi hili linafanya biashara HALALI NA YA HAKI (hata kama watakuwa na ujanja wa hapa na pale) lakini Wachanga wanajikita zaidi kwenye wizi na ujambazi ili kutajirika! Fuatilia historia za hao wanaojiita "matajiri wa Kichanga" utaona vyanzo vya utajiri wao NI UTATA MTUPU. Of course ukiwatoa wachache sana, lakini wengi ni wa hivyo!
 
Una laana ya ubaguzi na chuki wewe: Wachagga wamekuwa ni matajiri hata kabla Tanganyika haijapata Uhuru.

Nenda Marekani "New York" tu angalia Diaspora kubwa iliyofanikiwa, utakuta wengi ni Chaggas and Hayas.

Hawa wachagga unaowatukana wewe ina maana wanawaibia hadi wazungu wa ulimwengu wa kwanza ???

Hii roho mbaya ya KAINI (Wivu) unayoonyesha hapa ndiyo inasababisha Tanzania iendelee kubaki mkiani.

Mwenzako anafanikiwa wewe roho inakuwa korosho, sijui ninyi watu mna matatizo gani huko kichwani.

Ukitaka kuyaona mafanikio maishani mwako basi acha tabia ya wivu na lawama dhidi ya watu.

HAYA BASI: Waasia ngozi nyeupe ndiyo matajiri na wachagga ngozi nyeusi ni masikini! UMEFURAHI ????
 
Mimi nataka nione mtu aliyetajirika kwa uchawi anionyeshe biashara zilizosimama aniambie nimepata hii mali kwa uchawi.

Uchawi unamsaidiaje mtu kupata utajiri???

Wahindi hawaendi Kwa waganga kutafuta uchawi ..wa. Utajiri

Wanajua utajiri ni hardwork na discipline

Wanaenda Kwa waganga kupata 'dawa za husda'...
Kinga za kijicho....
 
Una laana ya ubaguzi na chuki wewe: Wachagga wamekuwa ni matajiri hata kabla Tanganyika haijapata Uhuru.
Nenda Marekani "New York" tu angalia Diaspora kubwa iliyofanikiwa, utakuta wengi ni Chaggas and Hayas.
Hawa wachagga unaowatukana wewe ina maana wanawaibia hadi wazungu wa ulimwengu wa kwanza ???

Hii roho mbaya ya KAINI (Wivu) unayoonyesha hapa ndiyo inasababisha Tanzania iendelee kubaki mkiani.
Mwenzako anafanikiwa wewe roho inakuwa korosho, sijui ninyi watu mna matatizo gani huko kichwani.
Ukitaka kuyaona mafanikio maishani mwako basi acha tabia ya wivu na lawama dhidi ya watu.

HAYA BASI: Waasia ngozi nyeupe ndiyo matajiri na wachagga ngozi nyeusi ni masikini! UMEFURAHI ????
Mbona POVU ndugu!? Au unahusika nini!?
 
Mbona POVU ndugu!? Au unahusika nini!?
Hapana, mimi siyo mchagga ila nasimamia kanuni za ukweli, utu na uungwana.
Ulichokisema siyo sahihi kwasababu you're stereotyping an entire group based on feeble assumptions.

Nimekupa mfano mdogo tu kuhusu wachagga,
Kama ni watu wezi wangewezaje kufanikiwa kwa mamia mpaka huko nje ya nchi ???
Nikakwambia tena kwamba wao walikuwa matajiri hata kabla ya Uhuru, maana wakoloni waliwekeza sana kwao.

Kama ulikuwa kwenye UTANI then it's my bad (Nimepitwa na utani wako, naomba unisamehe)
Lakini kama ulikuwa unamaanisha ulichokisema, basi ndugu yangu hujafanya vizuri hata kidogo.
Umelihukumu kundi zima kwa madhambi ya wachache, kitu ambacho hata Mungu hakukifanya kule SODOMA.
 
Hapana, mimi siyo mchagga ila nasimamia kanuni za ukweli, utu na uungwana.
Ulichokisema siyo sahihi kwasababu you're stereotyping an entire group based of feeble assumptions.

Nimekupa mfano mdogo tu kuhusu wachagga,
Kama ni watu wezi wangewezaje kufanikiwa kwa mamia mpaka huko nje ya nchi ???
Nikakwambia tena kwamba wao walikuwa matajiri hata kabla ya Uhuru, maana wakoloni waliwekeza sana kwao.

Kama ulikuwa kwenye UTANI then it's my bad (Nimepitwa na utani wako, naomba unisamehe)
Lakini kama ulikuwa unamaanisha ulichokisema, basi ndugu yangu hujafanya vizuri hata kidogo.
Umelihukumu kundi zima kwa madhambi ya wachache, kitu ambacho hata Mungu hakukifanya kule SODOMA.
Sisi Waswahili tuna sema "samaki mmoja akioza wote wameoza" uongo kweli!? The majority of them wamepata "utajiri" kwa njia haramu na hii haijalishi ni lini au ni wakati gani au kutoka wapi, iwe hapa au Ulaya na haijalishi muda - inaweza kuwa hata in the 50s au hata 40s au hata 70s. Tabia haina muda ni suala la timing tu!
 
Biashara kwa muhindi na mwarabu ni sehemu ya utamaduni. Wenzetu kufanya biashara kumekuwa ni sehemu ya maisha na siyo tu shughuli ya kujiingizia kipato cha kila siku. Leo mtoto wa kihindi hata kama atakuwa yuko shule mnasoma naye, lakini ni lazima atakuwa anapata muda wa kutosha kushinda kwenye duka au ghala la wazazi wake huku akifanya kazi ndogo-ndogo.

Mwisho wa siku huyu mtu anakuwa anapata elimu za aina mbili (Formal and Informal Education), akija kuwa mkubwa atakachokuwa anafanya sehemu kubwa ni marudio ya alichojifunza kutoka kwa wazazi wake. Hili nimelishuhudia sana hata kwa Wachagga wengi. Lakini kubwa zaidi ambalo huwa linakuwepo kwa wenzetu ni utayari wa wanafamilia kutoa mitaji kwa watoto ambao wanaonekana kuweza kufanya biashara.

Lakini sasa wewe ndugu Daby unaweza ukawa ni Massai, lakini sehemu kubwa ya maisha yako umejikita kwenye kusoma (Formal Education) ambayo matokeo yake yanaweza kuja baada ya miaka 14 ya kumaliza shule. Baadae umekosa ajira ndiyo unakumbuka kama wewe ni Massai hivyo unaamua kununua ng'ombe ukitegemea utaweza kufuga, ilhali huna ujuzi wowote wa kufuga (Ulimwacha mzazi wako akafa nao).

Lakini ungekuwa ni massai wa mjini na kijijini naamini kuna vitu vikubwa kuhusu ufugaji ungekuwa unavifahamu kuliko hata mtu wa PhD aliyetoka Sokoine University of Agriculture: AND WHY, it's a generational thing for Massai to be excellent in Pastoralism and Ranching. Hivyo hakuna miujiza, waswahili husema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Kujifunza kwa muda mrefu tena kwa vitendo huku wakisimamiwa na familia: Hii huzaa kijiamini na nidhamu kwasababu huwezi kutumia vibaya fedha ya familia.

KITU KIKUBWA: Utajiri wa kundi la watu (Kabila au dini) mara nyingi huwa ni vizazi (A Genereational thing). Katika matajiri wakubwa hapa Tanzania hasa waashia, utajiri wao unakuwa na mizizi mirefu ya urithi. Watoto hurithishwa kutoka wazazi. Pia huo urithi hauji moja kwa moja, lakini inabidi mtoto autolee jasho na kuupambania kuupata tokea akiwa mtoto ili usije ukapotea. Familia pia huwa tayari kutoa mitaji na ajira kwa wanandugu ambao wanataka kufanya biashara au kujiendeleza.

Marehemu mama yangu aliwahi kuwa rafiki mkubwa sana wa familia ya wakina ABRI ambao ni familia moja na wenye ASAS MILK. Kuna ndugu yao moja hivi alikuwa inabidi apewe sehemu kubwa ya urithi lakini akakosea akaenda kuoa binti wa familia nyingine ya kiarabu: Mama yake aling'aka sana akimwambia mama yangu kwamba yule mtoto hatarithi sehemu kubwa kwasababu anaona mwanamke ambaye siyo ndugu yao. Hii ilikuwa miaka zaidi ya thelathini nyuma na nilivyosimuliwa nikaona nifanya uchunguzi haraka.

Nikagundua wale watoto waarabu mbali na kuzaliwa kwenye familia za kitajiri, sehemu kubwa ya maisha yao ni kufanya biashara za familia. Watu kama Mohamed na Fatma Dewji, ASAS, Freeman Mbowe & The Mengi's wachunguze vizuri maisha yao na utatambua kwamba hawakuanzisha vyao bali waliendeleza walivyovikuta baada ya kufundishwa vizuri na wazazi wao. Sasa sisi weusi mzazi hata viwanja anaficha, mapato yake anaficha na anakuwa na familia mitala ya wake nane hadi tisa: Sehemu kubwa ya malezi anaachiwa mwanamke, hapo utategemea kizazi kifike mbali ? Halafu akifa anakuachia urithi anategemea uundeleze! Uendeleze kwenda wapi ????

Biblia Takatifu inasema hivi: "Fedha na Mali mtu hurithi kutoka kwa baba yake"
Sasa wewe Mkurya mtoto akifika miaka 18 unafukuza nyumbani unasema akatafute zake nishakusomesha.
Tutalalamika sana kuwachukia Wahindi, Waarabu na Wachagga lakini ukweli wenyewe ndiyo huu, wametushinda.
Biashara kwa muhindi na mwarabu ni sehemu ya utamaduni. Wenzetu kufanya biashara kumekuwa ni sehemu ya maisha na siyo tu shughuli ya kujiingizia kipato cha kila siku. Leo mtoto wa kihindi hata kama atakuwa yuko shule mnasoma naye, lakini ni lazima atakuwa anapata muda wa kutosha kushinda kwenye duka au ghala la wazazi wake huku akifanya kazi ndogo-ndogo.

Mwisho wa siku huyu mtu anakuwa anapata elimu za aina mbili (Formal and Informal Education), akija kuwa mkubwa atakachokuwa anafanya sehemu kubwa ni marudio ya alichojifunza kutoka kwa wazazi wake. Hili nimelishuhudia sana hata kwa Wachagga wengi. Lakini kubwa zaidi ambalo huwa linakuwepo kwa wenzetu ni utayari wa wanafamilia kutoa mitaji kwa watoto ambao wanaonekana kuweza kufanya biashara.

Lakini sasa wewe ndugu Daby unaweza ukawa ni Massai, lakini sehemu kubwa ya maisha yako umejikita kwenye kusoma (Formal Education) ambayo matokeo yake yanaweza kuja baada ya miaka 14 ya kumaliza shule. Baadae umekosa ajira ndiyo unakumbuka kama wewe ni Massai hivyo unaamua kununua ng'ombe ukitegemea utaweza kufuga, ilhali huna ujuzi wowote wa kufuga (Ulimwacha mzazi wako akafa nao).

Lakini ungekuwa ni massai wa mjini na kijijini naamini kuna vitu vikubwa kuhusu ufugaji ungekuwa unavifahamu kuliko hata mtu wa PhD aliyetoka Sokoine University of Agriculture: AND WHY, it's a generational thing for Massai to be excellent in Pastoralism and Ranching. Hivyo hakuna miujiza, waswahili husema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Kujifunza kwa muda mrefu tena kwa vitendo huku wakisimamiwa na familia: Hii huzaa kijiamini na nidhamu kwasababu huwezi kutumia vibaya fedha ya familia.

KITU KIKUBWA: Utajiri wa kundi la watu (Kabila au dini) mara nyingi huwa ni vizazi (A Genereational thing). Katika matajiri wakubwa hapa Tanzania hasa waashia, utajiri wao unakuwa na mizizi mirefu ya urithi. Watoto hurithishwa kutoka wazazi. Pia huo urithi hauji moja kwa moja, lakini inabidi mtoto autolee jasho na kuupambania kuupata tokea akiwa mtoto ili usije ukapotea. Familia pia huwa tayari kutoa mitaji na ajira kwa wanandugu ambao wanataka kufanya biashara au kujiendeleza.

Marehemu mama yangu aliwahi kuwa rafiki mkubwa sana wa familia ya wakina ABRI ambao ni familia moja na wenye ASAS MILK. Kuna ndugu yao moja hivi alikuwa inabidi apewe sehemu kubwa ya urithi lakini akakosea akaenda kuoa binti wa familia nyingine ya kiarabu: Mama yake aling'aka sana akimwambia mama yangu kwamba yule mtoto hatarithi sehemu kubwa kwasababu anaona mwanamke ambaye siyo ndugu yao. Hii ilikuwa miaka zaidi ya thelathini nyuma na nilivyosimuliwa nikaona nifanya uchunguzi haraka.

Nikagundua wale watoto waarabu mbali na kuzaliwa kwenye familia za kitajiri, sehemu kubwa ya maisha yao ni kufanya biashara za familia. Watu kama Mohamed na Fatma Dewji, ASAS, Freeman Mbowe & The Mengi's wachunguze vizuri maisha yao na utatambua kwamba hawakuanzisha vyao bali waliendeleza walivyovikuta baada ya kufundishwa vizuri na wazazi wao. Sasa sisi weusi mzazi hata viwanja anaficha, mapato yake anaficha na anakuwa na familia mitala ya wake nane hadi tisa: Sehemu kubwa ya malezi anaachiwa mwanamke, hapo utategemea kizazi kifike mbali ? Halafu akifa anakuachia urithi anategemea uundeleze! Uendeleze kwenda wapi ????

Biblia Takatifu inasema hivi: "Fedha na Mali mtu hurithi kutoka kwa baba yake"
Sasa wewe Mkurya mtoto akifika miaka 18 unafukuza nyumbani unasema akatafute zake nishakusomesha.
Tutalalamika sana kuwachukia Wahindi, Waarabu na Wachagga lakini ukweli wenyewe ndiyo huu, wametushinda.
Well said
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom