Hawa wenzetu Wa-Asia wanatuzidi nini?

Nilipata pesa kwa kujinyima sana nikampa mdogo wangu ili tulime mpunga kwa sababu yeye ni mzoefu wa kulima hilo zao ila mtaji hana. Halikuwa analima eka mbili au chini ya hapo. mtaji wa eka tano, kuanzia kukatua mpaka kuvuna.

Cha ajabu badala ya mavuno ya mwaka mmoja akajikuta ameshika pesa nzuri, nilitegemea tuendelee na mtaji kwenda eka 10. Cha ajabu mwaka uliofuata akampeleka shule ya binafsi ya sekondari mtoto wake kwa mtaji ule.

Niliishiwa nguvu nikaomba hela angalau milioni 2, nikaishia zangu. Kwa kifupi biashara ni kanuni, sheria na malengo, kama usipofuata hayo hapo hakuna biashara. Ngoja nitafute mkinga au mchaga tufanye biashara pamoja.
 
Enzi za utumwa zenyewe bado Zina prove kuwa sisi blacks hatukujiatambua
Mwarabu mmoja aliwezaje kutoka na kundi la watumwa kutoka Tabora Hadi bagamoyo ? Hatukuwa hata na means ya kumtoroka ?
Watu weusi ni hopeless kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom