Sawa ila wazungu niwaache kwanzaNa Wewe Hakikisha Una Namna Nzuri,,
Yakuwanti Yua Bizinesi...
Sawa ila wazungu niwaache kwanza
Sema wewSawa...!!Hata Wazungu Usipowaacha Kwanza...
Sema wew
We mchawi ushazoea kuroga
Namba nimepewa mkuuUlimuomba namba ya simu!?
Aaah bas sawa mkuu. PambanaSema Wewe....
Nawe Ni Mchawi Umekwishazoea Kuroga Pia...Ndio Maana Mzungu Amekunyanyasa Kimahusiano...
Sasa mbona alikujibu hivyo!?Namba nimepewa mkuu
Aaah bas sawa mkuu. Pambana
Sawa sitaomba tenaSasa mbona alikujibu hivyo!?
Kabla sijasahau janja "wazungu" huwa hawaombwi namba, wanakupa wenyewe endapo itahitajika wewe kupewa