Hawa Wazungu warudi kwao

Na sisi tunasema LEAVE US WE DONT WANT YOUR BUSINESS 😹😹
 
Tuandamane kama wasauzi tu....
 
Ni adabu mbaya inakusumbua, hakuna kingine.
 
Ni wale watu waliozaliwa na kukulia vijijini,amezowea kuwaona wazungu kwenye tv tu,siku kamuona kaona kama vile kakutana na Malaika!

Aje huku abebe box,wazungu ni wakawaida tu.
KWANI MIMI KUZALIWA NA KUKULIA KIJIJINI UNAPUNGUKIWA NINI BOSS??? mbona kama unatupangia kila kitu kwan vp una milik oksijen yetu hapo ulaya???
 
Mkuu,

Wazungu ukiishi nao, halafu ukisikia wanavyozungumziwa na watu fulani hapa JF, unaweza kujiona ushafika mbinguni tayari.
Fafanua mkuu nielewe kama kuna namna ntamrudia mzungu yule asiejua hisia
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ila jf
Mkuu nakuunga mkono, haiwezekani wawe na dharau hivyo. Tena anakukataa kwa kimombo kama kakusomesha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…