Hawa Wazungu warudi kwao

Wewe mwanaume hakuna cha kubalance shobo akikaa mzungu mwengine kwenye anga zako tongoza mkuu

Wakikukatalia tutajua tunawafukuzaje ila we tongoza
 
Huna exposure,unaonekana ni mshamba kupitiliza,ni sawa na mtoto aliye zaliwa leo,

Narudia tena,acha shobo,acha kuingilia privacy za watu,siku nyingine utakuja kutolewa meno.
Mkuu mbona unataka kujaza povu? Tatizo nin? Pov la hasira
 
Kama ulikuwa hujapiga mswaki, hujaoga, na kikwapa kilikuwa kinatema, nikuambie tu mdogo wangu kwamba alikuvumilia sana.
 
MwaMlawa Kamwene..
 
Kama ulikuwa hujapiga mswaki, hujaoga, na kikwapa kilikuwa kinatema, nikuambie tu mdogo wangu kwamba alikuvumilia sana.
Usihukumu ruti ya basi kwa kuw inatok kijijn.
Me nilikuwa niko vizur kabisa ndo maana nikapiga nae stor
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…