Sasa nimekaa nae nisimsemeshe mkuu. Km karbu 100pole mkuu
jifunze kubalance shobo
Ilikuw jana ckupiga pchaWeka picha tuwaone
Kwamba umeamua tu kunisimanga ndugu konfensihonDebe tupu ohh debe tupu
Acha zako kelele
Mbosso khan
Kwani nilimvua nguo? Yaan nimekaa nae siti moja tupo wawil unasema praives? Ndiyo nin hyo tena nawwJaribu kuheshimu privacy za watu,
Punguza shobo.
Kwan wagen siyo watu mkuu. Kikubwa ni bintWasukuma wenzako hujawaona mpka usumbue wagen
Wewe unatakiwa utafutwe na uchapwe viboko kabisa, unasumbua watalii wetu.Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
ok.Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
We utakuwa hujanisikia vizur bintSome men’s entitlement has to be studied.
Ukiwa Boss kazini kila anayekukataa fukuza mbali!
I didn’t expect you to understand!We utakuwa hujanisikia vizur bint
kisa chako ni cha kweli kabisa? usinifiche nataka nikupe codeJana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????