Mimi nimependa hicho Kitovu cha huyo mzee wa kulia!
leo patachimbikahuo mkono wa kushoto wa huyo mzee wa kulia unajiandaa kuachia kibao kimoja matata!
mimi nimependa hicho kitovu cha huyo mzee wa kulia!
jamaa kammalizia mwenzake ugoro sasa amelianzisha.
hiyo avatar yako ni wewe original,?kama ni wewe hongera.leo patachimbika
mimi nilijua ni bomu la kutupa na mkono wewe ndo ukanikumbusha kwamba ni kitovu.kitovu kama kibuyu..mae