hawa wazee vipi?

Unadhani Babu DC ni kibonde wa kila mtu hata Asprin? Subirini kuna siku mtauona moto wake!
Hawa vijana wanatutakia mabaya. Nadhani hawajui wazee tulivyo na ushirikiano. Hivi hawawaoni wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?
 
Hao wazee wamekosa adabu... sasa wajukuu zao wajifunze nini kutoka kwao?...:fencing:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom