Nikhil JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 361 Reaction score 120 Mar 24, 2016 #1 Unasali hadi unatolewa nje
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,522 Mar 24, 2016 #3 Huyo anasoma au anasali?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Mar 24, 2016 #4 Ha ha ha Ngoja wafia dini waje kwenye huu uzi, utakoma
komred zahir Senior Member Joined Dec 30, 2015 Posts 182 Reaction score 62 Mar 24, 2016 #5 Mtoa mada , hapo msikiti uko wapi Mbona unaleta mambo ya KIJINGA hapa Acha kutuchafulia dini yetu KAFIRI mkubwa wewe
Mtoa mada , hapo msikiti uko wapi Mbona unaleta mambo ya KIJINGA hapa Acha kutuchafulia dini yetu KAFIRI mkubwa wewe
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,939 Reaction score 2,847 Mar 25, 2016 #6 Msikiti gani wanaingia na viatu?
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Mar 25, 2016 #7 hahaha! itakuwa ukanda wa Gaza hapo...ila umechafua hali ya hewa subiri matusi kutoka kwa kina AL shababist
hahaha! itakuwa ukanda wa Gaza hapo...ila umechafua hali ya hewa subiri matusi kutoka kwa kina AL shababist
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Mar 25, 2016 #8 komred zahir said: Mtoa mada , hapo msikiti uko wapi Mbona unaleta mambo ya KIJINGA hapa Acha kutuchafulia dini yetu KAFIRI mkubwa wewe Click to expand... kumekucha mswalie mtume maalim
komred zahir said: Mtoa mada , hapo msikiti uko wapi Mbona unaleta mambo ya KIJINGA hapa Acha kutuchafulia dini yetu KAFIRI mkubwa wewe Click to expand... kumekucha mswalie mtume maalim
S simanyane JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 2,245 Reaction score 720 Mar 25, 2016 #9 Hivi wao ndo wanahasira zaidi kuliko wenzao?mbona habari za wachungaji na mapadri zikiongelewa hakuna anayetukana
Hivi wao ndo wanahasira zaidi kuliko wenzao?mbona habari za wachungaji na mapadri zikiongelewa hakuna anayetukana
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,555 Reaction score 1,389 Mar 25, 2016 #10 Ngamiani said: hahaha! itakuwa ukanda wa Gaza hapo...ila umechafua hali ya hewa subiri matusi kutoka kwa kina AL shababist Click to expand... wakina al shababist ndio kina nan mkuu?
Ngamiani said: hahaha! itakuwa ukanda wa Gaza hapo...ila umechafua hali ya hewa subiri matusi kutoka kwa kina AL shababist Click to expand... wakina al shababist ndio kina nan mkuu?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Mar 25, 2016 #11 Huyo anaonesha ni Jew, kwa hiyo haiwezi kuwa msikitini hapo. Fikiri.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Mar 25, 2016 #12 Waburutwe tu......
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Mar 25, 2016 #13 Clarity said: Msikiti gani wanaingia na viatu? Click to expand... Hapo jirani na kwenu
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,285 Reaction score 7,408 Mar 26, 2016 #14 hivi MTU akitukana ama kukejeli dini ya mwingine nini anapata? anapunguza waumini,au anapewa thawabu ......wenye dini zao wanawaosha miguu wenzao
hivi MTU akitukana ama kukejeli dini ya mwingine nini anapata? anapunguza waumini,au anapewa thawabu ......wenye dini zao wanawaosha miguu wenzao
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Mar 26, 2016 #15 Mbona yupo Na viatu??
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Mar 26, 2016 #16 claytonx said: hivi MTU akitukana ama kukejeli dini ya mwingine nini anapata? anapunguza waumini,au anapewa thawabu ......wenye dini zao wanawaosha miguu wenzao Click to expand... Mambo ya imani ndugu yangu magumu sana.
claytonx said: hivi MTU akitukana ama kukejeli dini ya mwingine nini anapata? anapunguza waumini,au anapewa thawabu ......wenye dini zao wanawaosha miguu wenzao Click to expand... Mambo ya imani ndugu yangu magumu sana.