kumekucha mswalie mtume maalimMtoa mada , hapo msikiti uko wapi
Mbona unaleta mambo ya KIJINGA hapa
Acha kutuchafulia dini yetu KAFIRI mkubwa wewe
wakina al shababist ndio kina nan mkuu?hahaha! itakuwa ukanda wa Gaza hapo...ila umechafua hali ya hewa subiri matusi kutoka kwa kina AL shababist
Hapo jirani na kwenuMsikiti gani wanaingia na viatu?
Mambo ya imani ndugu yangu magumu sana.hivi MTU akitukana ama kukejeli dini ya mwingine nini anapata? anapunguza waumini,au anapewa thawabu ......wenye dini zao wanawaosha miguu wenzao