Hawa watu kweli kuna ushikaji??au wanapanga wizi..?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
m7.jpg
Washikaji au mipango ya kuiibia DRC??
 
hawa washikaji sana, hata wakigombana kesho yake tu wanapatana, kwasababu wametoka mbali, kagame alimsaidia sana m7 kuipindua uganda, alikuwa moja wapo wa majemadari wa ngazi ya juu kabisa katika jeshi la m7. vilevile m7 alimsaidia sana kagame kuipindua jeshi la Rwanda kipindi kile cha genocide, majeshi ya uganda yalisaidia sana kuingia pamoja na yale ya kagame toka northern Rwanda/soughtern Uganda yalisaidiana kushuka kigali hadi kuutwaa ule mji na kuteka serikali, pamoja na kuua wahutu wengi sana kama kulipiza kisasi ka mauaji ya watusi.....hao wote wanatokea kwenye ile kitu wanaita hema society yaani wale waafrica wanaojidai kama wao si wabantu hivyo wafananishwe na watu wa ulaya....ankole na tutsi wote ni wafugani na wanafanana sura kiaina fulani hata kama si moja kwa moja, na wote wanajiamini kuwa wametokea ethiopia au nubian states na egypt....ile huyu kagame hapatani kabisa na mkwereee, alimwambia mkweree kuwa angekuwa rais wa tz angeibadilisha tz kuwa ulaya kutokana na resources ambazo watz tunazo halafu tunashindwa kuzitumia, wakati yeye kule rwanda hana resources lakini amepiga hatua kubwa ambayo ulimwengu wote wanaona na kumsifia.
 
mkuu unasema kweli hayo? big up kagame
 
Back
Top Bottom