Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Dunia ya leo unasomea biashara...
 
Kwa hiyo, mngekaa pembeni akakukubalia muwe wapenzi ungetoa hiyo 35000?!

Nina hakika hiyo relation ingeishia baada ya yeye kupokea tu!
 
Siku nyingine usikubali kumusindikiza hata kama kaubika vipi yan we achana nae[emoji23]
 
After all kwanza viatu gani vya kike 35,000'?? Kwa watoto wa chuo wanavaaga vya elfu 2000-5000
 
Mwanamke anayekupiga vizinga kabla hamjaomgea na kufanya chochote, huyo ni mwanamke pasua kichwa, hatosheki, ukimpa hiki anataka kile, lazima mtahangaishana mbele ya safari.
 
mkuu hizo technique nazikubali nimezitumia sana chuo tulikuwa tunasema unampiga "internal conflict"
 
mwaka wa 3 cos ya biashara huna elfu 35 umeaaplly wap mambo ya class.UMEJISHUSHA VWANGO MKUU
Wewe ndio bure kabisa wapi kakwambia hakuwa na hiyo hela ?

Hivi mkisoma mada huwa mnaelewa au mnashika neno moja tu na kujumlisha yote.

Jamaa.kasema hawana makubaliano ya aina yoyote sio wapenzi wala.hawafahamiani vizuri wala hakutaka kuwa na makubaliano.ya kukopeshwa sasa mazingira kama hayo unatoaje hela kiholela ?

We utakuwa ziro brain tu
 
Ungemsaidia tu. Wabongo bana, huwezi kumpa mpaka awe mpenzi wako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungemjibu tu "take your time too gold digger", achana nae,hilo ni gume gume,
Tafuta mtoto aliyeturia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…