Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

JIBU: Don't answer her..... Futa txt, futa namba... Endelea na kitabu.

We ni mwanaume huwezi kua single hilo liko wazi, tuliza akili tafuta msichana mwenye vigezo vyako.. Mbona wapo Wengi tu vyuoni hapo.

Hawa choka mbaya ndio huwa wasumbufu... Kwao Maisha magumu kame kuja chuo.. Kana dhani kuomba hela kwa mwanafunzi mwenzake ndio mapenzi au ndio ujanja...

Mademu wengi wapenda hela chuo ni choka mbaya trust me... Tumesoma huko tuna jua.

IPO SIKU ATAKUJA MWENYE WE.. na utampiga show hawanaga lolote hawa....

USHAURI: Be a gentleman, hapa ndio una mvuruga zaidi. Usianze kumtangaza tena chuo kwa shikaji " Ooh aliniomba hela, mara sijui alifanya nini " Cool down piga kitabu.. Atakuja tu. Ukikutana nae msalimie endelea na safari. Epuka maongezi marefu haya maana tena... Akituma sms usi jibu kwa muda huo huo... Chukua hata masaa 6 na zaidi ndio ujibu, au jibu kesho kama haina ulazima.. Hizi ni techniques tu zaku wanyoosha hawa.
 
Kijana umeamua vema.Usijali juu ya lugha mbaya aliyotumia,isikuumize kwa kuwa hayo ni Maneno ya mkosaji.Usimjibu vibaya wala kumtukana,mwanaume huwa hatukanani na wanawake.Lakini pia mchunie kwa muda,wala usimtafute kwa sasa.
 
"Enyi vijana sikilizeni mnapokuwa masomoni, acheni mchezo wa mapenzi mnawana uchungu ooooh wazazi wenu"
haka ka nyimbo ka zamaaanii.....little boy atakuwa ameshauelewa
 
Degree mwaka wa tatu na bado hujui kuandika fasaha!
 
Kwema wakuu!!

Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!

Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.

Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.

Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "

Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
Come on little boy, grow up!!!
 
Hahaha sista doo nja kali katoka nishai, baada ya kuambiwa little boy ulijibuje?
 
Hiki bila shaka ni kile kilichoanzishwa mwaka 1972 pale mkabala na benki kuu.

Take your time little boy...
 
Back
Top Bottom