Hawa wanawake wana ndoa?

Kuolewa tena, hawa wenyewe walioolewa ni pasua kichwa, wanawake siyo viumbe wa mchezo mchezo..
 
Mume wa Tulia Ackson anaitwa James Andilile Mwainyekule nafikiri bado anafanya kazi wizara ya nishati kama kamishna. Pia aliwahi kuwa ag. DG TPDC tuliwahi kufanya kazi wote mahala.

Asha-Rose Mtengeti mume wake anaitwa
Cleophas Migiro alikuwa mwalimu pale mlimani kwa mingi sana. Sina hakika kama bado yupo pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…