Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya wadhifa alionao, akifika kwa mumewe hupiga goti kwa unyenyekevu ili kuimarisha mapenzi na familia.
Asha rose migiro nakumbuka kipindi anaelekea UN alishoneshwa kweny mahojiano akiwa na mmewe sema nadhani wengi hawapendi kuweka maisha ya nje ya kazi public