Standard au hadhi haina nafasi kwenye mapenzi, in short unawaza kitoto sana.Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi.
Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae sahani moja aisee ni kinyaaa.
Mbususu ndio imekua intersection point ya mataji na mafukara ,wachungaji na waganga, wenye akili na wendawazimu, wachafu na wasafi
..yaani wote hawa kinacho tukutanisha ni k.
Kapo muhusika kanigomea kuwa hawezi kudinywa na huyo jamaa ila nilivyo muona jamaa anakila dalili za kumla huyu demu na anampenda
At least hata jamaa angekua kama mimi au zaidi yangu ningejiona mwamba ila hapa mwenzenu nimepigwa na radi.
Ladies kuweni na standards bana duu
NB
ieleweke sijachapiwa cos na mimi ni mwizi kama waizi wengine. But I have standards...simba hawezi kula sahani moja na fisi hata hiyo sahani iwe nzuri vipi
Mke anatumia pesa ya jamaa kulilipia lijamaa from abroad to bongo kuja kumchakata mbususu ☺️😊Tukio gani Mzee wangu?
Kamrudishaje jamaa au mke hapo umemix storyJamaa baada ya kugundua kamrudisha kwao huko abroad na wana watoto wawili wa lower class primary school....
Kama ni mchefu bora utamke ni mchafu tu sio kusema hana ubora wako.Kuna swala la usafi wa mtu mzee
Amemrudisha mkewe nyumbani kwaoKamrudishaje jamaa au mke hapo umemix story
Nyumbani kwao abroad ndio amemrudisha? Sasa si ndio anaenda kugongwa vizuri na huyo jamaa mwingineAmemrudisha mkewe nyumbani kwao
Ndo mshashea sasa, uchafu umeuona wewe mwenzio hajauona.Hatukatai kushea ila jitahidini usafi na kujipenda , uchafu sio sifa bwege ww
KamuogesheHatukatai kushea ila jitahidini usafi na kujipenda , uchafu sio sifa bwege ww
Haina makombo ukiingia kwenye basi huwa unauliza nan alikua amekaa hapa?Usishindane nao yaan akiamua kwa siku anaweza akawavulia chupi msululu wa wanaume na usijue
Mtumba au sio?Jitahidi usiishi katika maisha ya kutumia second hand products kama unataka mafanikio
makubwaView attachment 2838057
View attachment 2838058
View attachment 2838059
View attachment 2838060
View attachment 2838061
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
#UkichapiwaKausha
Huo ujumbe wa Ki-Malikia.View attachment 2838057
View attachment 2838058
View attachment 2838059
View attachment 2838060
View attachment 2838061
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
#UkichapiwaKausha
Tukisema watu wanafikiri sisi waongo haya mambo tunajitungiaView attachment 2838057
View attachment 2838058
View attachment 2838059
View attachment 2838060
View attachment 2838061
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
#UkichapiwaKausha