Hawa wanaume hatujawajulia tu

Nabold uzi 🙂🙂

Hawapendagi kupimiwa mbususu

Ila bado kuna wengine utabinuka mpaka utenguke maini ila kutulia na wewe ni nehiii… labda akuheshimu kwa kucheat kwa akili sana ili usijejua.


Wale ME ambao msipopimiwa na nyie mnakuwa ma gentle in all aspects aiseee mubarikiweeee, na wallet zenu zisikose manoti 😉🤪😋😋.
 
Nabold uzi 🙂🙂

Hawapendagi kupimiwa mbususu

Ila bado kuna wengine utabinuka mpaka utenguke maini ila kutulia na wewe ni nehiii… labda akuheshimu kwa kucheat kwa akili sana ili usijejua.


Wale ME ambao msipopimiwa na nyie mnakuwa ma gentle in all aspects aiseee mubarikiweeee, na wallet zenu zisikose manoti 😉🤪😋😋.
Aisee watu mna experience kwahiyo unajua wanaume wangapi..?😂
 
Nabold uzi 🙂🙂

Hawapendagi kupimiwa mbususu

Ila bado kuna wengine utabinuka mpaka utenguke maini ila kutulia na wewe ni nehiii… labda akuheshimu kwa kucheat kwa akili sana ili usijejua.


Wale ME ambao msipopimiwa na nyie mnakuwa ma gentle in all aspects aiseee mubarikiweeee, na wallet zenu zisikose manoti 😉🤪😋😋.
Tunashukuru
 
Kosa ni kutaka kumbeba mtu ambae anaweza kujibeba!..

Wanawake unaozungumzia hapo ndo hawa wanakazi wanarudi wamechoka ataubinua sangapi..?
Anahasira za kufokewa na boss wake huko bado kikoba anadaiwa!.
Na vile mnavichwa vidogo kuhandle situation Kama hizo ni kazi kila mara mwajikuta mnahasira coz hamjui namna ya kuhandle hisia zenu!..
Ukimwambia binua binu ye anabinuka Kama ngamia ukimrekebisha anakuja juu..😂
Sasa kama unataka mibinuko binu si ungeenda Tanga dogo??

Huku Kaskazini huo muda hatuna 😛😛
 
Sasa kama unataka mibinuko binu si ungeenda Tanga dogo??

Huku Kaskazini huo muda hatuna 😛😛
Ipo siku nitakuja kushuka na mgongo wa mtoto wa mtu walahi mtu unabinukaje Kama ngamia..!
 
Litolewe sanamu la askari pale post, lijengwe la kwako..

Kunywa na kula chochote utakacho mimi nitalipa.


Hapo umemuongelea mwanamke ninaemuhitaji mimi kwa 99%
Kwahiyo huyo uliyenae tunamtupia mto gani wenye mamba?😉
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.

Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...mpe kile Cha chap Kwa haraka egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede)

Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao

Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu... maskini ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....

Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio... Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao

NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!
Kama unayosema unayaweza njoo tuishi nakuapia sitakaa nichepuke hata siku moja na utakuwa umenipatia kweli, wewe chochote unachotaka utapata na nitakujengea mnara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom