Wafujo
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 451
- 998
Ni kweli aseeKawaida mkuu,tupo duniani yanipasa kupitia![]()
Nikirudi kwenye mada, kwa upande wangu ukinifanyia hivo yaani hata nguvu ya kuchepuka niitoe wapi?
Ni kweli aseeKawaida mkuu,tupo duniani yanipasa kupitia![]()
Umehamishia ule uzi huku?Kawaida kama hakuwa wako lazima aende tu mkuu
Atuambie sanamu lake liweje yaani awe anatabasamu au kavaa kofia. Pia aseme ni high heels au all star.Najitolea mifuko kumi ya cement kwa ajili ya sanamu lako. Nawasilisha
Kosa ni kutaka kumbeba mtu ambae anaweza kujibeba!..Itashindikana kama mwanaume habebeki
unasiti yako pale Kremlin ukae pamoja na PutinEmbu tujaribu mbinu hii,kuwapea game sehemu yoyote,I mean sebuleni,chumbani ,jikoni,kwenye gari,bafuni...yaan popote.Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ...shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster.Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake..no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati,yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi,mchana au jion usiku pia,Leo akitaka mchana poa,kesho usiku poa...usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...mpe kile Cha chap Kwa haraka
egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu
(kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede
)
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa,anza hata wewe mwenyewe....hizi aibu utafikiri ndo mnaanza kutongozana zinacost aisee....hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee,mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu...maskini
ndo maana ulioa,uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi,kama unampenda jishushe,usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu....Magumu yapo but relax...nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe...Kuna neno nishawahi tamkiwa,Kali,baya,chungu....japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo.....utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio...Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume,siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume najuu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini,yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!
.Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa,wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama,Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job,wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia
daah,hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao
NB:tumieni vyombo Ivo jamani,kufa kwaja ....daah!![]()
Naona ameanza kukuleta weweHehehe
Dj waleteeee
🤣🤣🤣🤣🤣Yaan kenzy akili Yako....daaah 🙌Kosa ni kutaka kumbeba mtu ambae anaweza kujibeba!..
Wanawake unaozungumzia hapo ndo hawa wanakazi wanarudi wamechoka ataubinua sangapi..?
Anahasira za kufokewa na boss wake huko bado kikoba anadaiwa!.
Na vile mnavichwa vidogo kuhandle situation Kama hizo ni kazi kila mara mwajikuta mnahasira coz hamjui namna ya kuhandle hisia zenu!..
Ukimwambia binua binu ye anabinuka Kama ngamia ukimrekebisha anakuja juu..😂
🤣🤣🤣Aisee...daaUnatudanganya hiyo popote wakati wowote siyo salama!
Mimi nina kovu la pasi bega la kulia panapounganika na mgongo nililipata way back 2006 haya mambo ya wakati wowote popote ilinikuta nanyoosha nguo kitandani demu wangu khanga ikamdondoka ktk zile kukuru kakara nikaungua,andaeni mazingira kwanza!
😂😂🤣🤣Naona ameanza kukuleta wewe
Nini To yeye?🤣🤣Ila jamaa wewe 🙌
WamekusikiaEmbu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...😳mpe kile Cha chap Kwa haraka 😉 egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu🤣 (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede🙄)
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao🙌
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu☹️... maskini 🥺ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio... Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na😏 juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!🙄☹️. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia😭 daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao😭😭😭😠😏
NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!🤨