Komaa mpenda dezo umebaki wewe n yule dk Bana mpuuzi mwenzako kwenye uteuzi wa chupiWadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Halafu hii tabia ya kujiita makamanda wakati hata vita ya fimbo tu huijui ni ya kijinga sana!!Lizaboni una lako jambo, always we ni chokonozi na unatetea hata usivyo amini. Lengo lako lilishajulikana kwa mwonekano wa Title tu. Kimsingi unajipendekeza tu kwa hao watawala. Makamanda tumsamehe huyu KIMADA wa watu maana hajui alitendalo.
Kila awamu inawapiga dili wake, wa awamu hii mnawaonaMagufuli ni kiboko ya wapiga dili, anaipeleka nchi kwenye mstari. Ndani ya mwaka wake mmoja nchi imenyooka, maendeleo kila kona mpaka treni za umeme.
Watanzania tuliomba Mungu atuletee mkombozi, mwenyezi Mungu akatuletea Magufuli.
Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Ndo akili za kinyumbuPole mwana Lumumba, book 7 zinakulewesha kiasi hicho!!.
Akili unayo lakini inahitaji akili nyingine ili iweze kuitwa akili.
Bila demokrasia ya vyama vingi hayo hayawezekaniWadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Kila siku mnaimba nyimbo zile zile huruma hiyo hiyo mtaombea kura... Elizaboni nasikia upo kwenye siku zako.ndio maana unaandikaga hiviiiWadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Et kamanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lizaboni una lako jambo, always we ni chokonozi na unatetea hata usivyo amini. Lengo lako lilishajulikana kwa mwonekano wa Title tu. Kimsingi unajipendekeza tu kwa hao watawala. Makamanda tumsamehe huyu KIMADA wa watu maana hajui alitendalo.