Hawa Wanasema Hivi Juu ya Tanzania, Wewe Je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Wanasema Hivi Juu ya Tanzania, Wewe Je?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by JF Marketer, Aug 16, 2011.

 1. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Nchi nzuri sana ambayo;

  • Umeme upo lakini HAUWASHWI
  • Mafuta ya magari yapo lakini HAYAUZWI
  • Vyanzo vya maji tele lakini BOMBANI HAYATOKI
  • Wezi, Wadokozi na vibaka WANAHUKUMIWA lakini Mafisadi HAWASHITAKIWI
  • Serikali ina Mawakili Waliobobea lakini KESI NYINGI INASHINDWA
  • Mahakama Kuu inauzwa ili kujenga HOTELI ya kifahari
  • Ina rasilimali NYINGI lakini Wazawa wake ni MASKINI
  • Wanao wasomi na Viongozi Wakuu wa wakuchaguliwa WASIOJUA matatizo na CHANZO CHA UMASKINI wa waliowachagua
  • Rais wake ni mzembe lakini HAWAJIBI wala KUWAJIBISHWA
  • Mawaziri wanashindwa kazi lakini HAWAJIUZURU  Wananchi wanajua kulalamika sana lakini HAWACHUKUI HATUA!

  Ongeza na hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/119885-tanzania-nchi-yenye-raia-na-mambo-ya-ajabu.html
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
 3. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikulu kama wanashindwa kuelewa kwa kuona maisha halisi hawawezi kuelewa kwa kusoma maandishi. Waswahili husema; Kusoma Hujui/Huelewi, Hata Picha Huioni!
   
Loading...