ila kwa wanaotajwa tajwa ccm kuwajadili ruksa sio?kwanini chadema unapenda iwe exceptional case labda?zipo sababu zozote za msingi unazo za kufanya hivyo labda?zitaje.
Mkuu KIM KARDASH;
Heshima kwako kwanza;
Wewe unacheza na propaganda za kujaribu kuleta mijadala ambayo haipo CDM,Lengo unataka kutuaminisha kwamba sisi attention yetu ni kwenye Uraisi kwa sasa.Tumeshakuelewa.Nimekujibu kwa hoja kwamba kama unapenda kuendelea kujadili endelea,kwa sababu kuna freedom of Speech.LAKINI hiyo sio PRIORITY yetu kwa sasa CHADEMA.Ukaishia na ati " Udikteta Mbuzi".Sijatoa maoni ya kukuzuia kujadili,Go on lakini elewa nilichosema,na je katika nilichosema kuna lolote ambalo unaona sio msimamo wetu CDM?
Swala la Authority ya kusema haya usihangaike sana kwa sababu hata wewe sikujui.Lakini huu ndio msimamo wetu.Ninyi hamuwezi kututeteresha.Again endeleeni kujadili Expected Candadates wetu according to Ninyi.
Asante Mh.KIM
Mtu mzima kusema urongo haipendezi,naomba niwekee nukuu yeyote kutoka kwa uliowataja wakitangaza kwamba watagombea urais na uvue hiyo miwani utueleze uliwasikia wapi na lini?mbona mnakuwa na mapenzi ya kitoto mkipenda jambo mnakua kama walokole hamuoni wala hamsikii kuhusu chadema ila ya ccm kwa jinsi tunavyoyajadili humu kila siku mpaka unahisi labda uliwahi kumsikia lowasa akiomba kura za 2015!hakuna aliyetangaza rasmi ila hawa watu ni kwamba wameonyesha nia kwa kusikika wakiropoka kwa watu wao wa karibu na wapambe wao wamekua wakipita pita kupiga ndogo ndogo,mnataka kuficha kitu gani kwani mbona jitihada zimekuwa kubwa sasa?kama lipo lipo tu hito si ndio demokrasia bwana lazima jamaa awe tested sio kufikiri atapishwa tu bila changamoto,ajiandae tu!mwenyekiti nae nasikia yumo anataka kujaribu bahati yake kwa mara nyingine!yale yale ya usultan kwenye vyama vya upinzani,mwenyekiti na katibu tu ndio wanafaa kuwa wagombea wa kudumu,poor chadema!Nafikiri una matatizo ya kuelewa wewe Kim,lini umesikia kua CDM wameanza hizo campaign? Si nyie ndio mmeanza hizo campaign kupitia Membe,Sitta na Manywele? Unapotaka kuanza kujadili haya mambo ni wazi kua unataka vurugu zilizopo kwenu Magambani unataka kuzileta huku hauoni gogoro linalofukuta la hao watu watatu? Kwann kila cku Manywele anaomba mialiko mahala pengi ili aonekane? Sitta nae hauoni au? Hizo ni tabia za nyie Magamba kwa hyo endeleeni na huo utaratibu wenu
Huyo pia mimi nilimfikiria lakini nilipo jaribu kudurusu kiwango chake cha elimu nilisikitika sana.....labda kama atajiendeleza hata open university maana umri unamruhusu!
Kumekuwa na fikra ama dhana potofu miongoni mwa vyama mbadala tanzania kwamba wagombea urais kupitia vyama hivyo ni lazima wawe wenyeviti ama makatibu wakuu wa vyama hivyo,huu sasa unaonekana kama ni utamaduni uliozoeleka kwenye vyama vya upinzani,kwa kuwa chadema ni chama za kidemokrasia zaidi naona kingejaribu kuonyesha njia kwa kujitofautisha na vyama vya kisultani(tunavijua)kwa kuanzi chadema kwenye uchaguzi ujao kimteue mgombea wake kutoka nje ya utaratibu huo unaobaka demokrasia hapa nchini.
Wapo watu wenye uwezo ndani ya chadema ambao wakisimamishwa wanaweza kutoa changamoto ya kutosha kabisa hasa ikizingatiwa chadema kama vyama vingine vimesharibu kuwasimamisha mwenyekiti aliyeko madarakani pamoja na katibu wake bila mafanikio,mfano wa watu mahiri ndani ya chadema ambao wanao uwezo mkubwa wa kuipeperusha bendera ya chama ni hawa wafuatao,hebu tujaribu kuwachambua na kupima kuona yupi ni bora zaidi hapa
Mh.Tundu Lissu
Mh.Zitto Kabwe
Prof.Safari
Mh.Halima Mdee
Bill Gates & Microsoft
In 1975, before graduation Gates left Harvard to form Microsoft with his childhood friend Paul Allen. The pair planned to develop software for the newly emerging personal computer market. Bill Gate's company Microsoft became famous for their computer operating systems and killer business deals. For example, Bill Gates talked IBM into letting Microsoft retain the licensing rights to MS-DOS an operating system, that IBM needed for their new personal computer. Gates proceeded to make a fortune from the licensing of MS-DOS.
On November 10, 1983, at the Plaza Hotel in New York City, Microsoft Corporation formally announced Microsoft Windows, a next-generation operating system.
On January 1, 1994, Bill Gates married Melinda French Gates. They have three children.
Baada ya kushindwa vibaya kwa hoja yako ya Dr. Slaa kugombea arumeru leo umeamkia huku?
Huu muda unaopoteza kutengeneza majungu ungeutumia kukishauri chama lako la magamba namna ya kujinasua na makundi ungeonekana wa maana sana, hata mimi ningeku support.
Tumia akili yako na muda wako vizuri kwa kuishauri chama la magamba kuweka sera zinazowasaidia wananchi kujiinua kiuchumi na kielimu. Sasa hivi inflation haikamatiki, umeme imekuwa anasa, huduma za afya mmezihamishia india na walimu wamemaliza vyuo wanazurura mitaani wakati shule wanafunzi hawana walimu.
Kuzungumzia uraisi miaka mitatu kabla ya uchaguzi ni utamaduni wa magamba, usitake kutushausri upuuzi kama huu wa kujenga personalities badala ya kujenga vyama na serikali imara.
Pumba Trans,....umeenda mbali sana,ungetoa mfano wa bakhresa tu ningeelewa kuliko kupoteza ku copy na ku paste kwenye internet!lakini elimu bado muhimu.
pumba trans,....
Nadhani ni vyema ukamuelekeza chuo cha kusomea Urais ili akajiunge na hayo masomo ya kusomea Urais.upotoshaji jazz band....!mwambieni arudi shule nyie acheni kumdanganya na habari za bill gates sijui steve jobs wizi mtupu,umri bado unamruhusu kijana,ana haraka gani?
Nadhani ni vyema ukamuelekeza chuo cha kusomea Urais ili akajiunge na hayo masomo ya kusomea Urais.
zitto kabwe anafaa.moja ya vitu mhimu alivyonavyo kijana huyu ni kwamba anaijua siasa siobkama baadhi ya watu fulani wanaochukulia siasa kama ni uhasama.zitto ameweza kusimama imara pamoja na changamoto wanazompa watu ikiwemo jf.akitoa hoja inakuwa na mshiko kweli kweli na kwa maana hyo yuko Objective maana watu tunasema yuko upande wa jk lakn mbona anaiumbua serikali ya jk kwa maswala nyeti.
kitu kingine mhimu kwa zk ni kwamba yuko fit.kichwa kinafanya kaz ndo mana amekuwa sio mtu wa kukosoa tu anatoa njia mbadala mfano ni issue ya ajira anavoichambua na kupendekeza maswala kadhaa.jna akiwa channel ten amethibitisha hlo kwa mambo aliyojipanga nayo kwa bunge lijalo
zitto anavitu vingi sana vya kutufundisha sisi vijana wa ktz hasa kwenye swala la kusoma na kuelewa.
kwa leo inatosha.
Ungetoa mfano mmoja na si kutupa 'sweeping statements' Zitto kafanya nini ambacho wewe unaweza sema if implemented tutasogea mbele apart from embezzlement za serikali. Hilo an average accountant, economist can point out hata mie naweza piga kelele hizo hizo given the stage and the audience; matter of fact anybody can.zitto kabwe anafaa.moja ya vitu mhimu alivyonavyo kijana huyu ni kwamba anaijua siasa siobkama baadhi ya watu fulani wanaochukulia siasa kama ni uhasama.zitto ameweza kusimama imara pamoja na changamoto wanazompa watu ikiwemo jf.akitoa hoja inakuwa na mshiko kweli kweli na kwa maana hyo yuko Objective maana watu tunasema yuko upande wa jk lakn mbona anaiumbua serikali ya jk kwa maswala nyeti.
kitu kingine mhimu kwa zk ni kwamba yuko fit.kichwa kinafanya kaz ndo mana amekuwa sio mtu wa kukosoa tu anatoa njia mbadala mfano ni issue ya ajira anavoichambua na kupendekeza maswala kadhaa.jna akiwa channel ten amethibitisha hlo kwa mambo aliyojipanga nayo kwa bunge lijalo
zitto anavitu vingi sana vya kutufundisha sisi vijana wa ktz hasa kwenye swala la kusoma na kuelewa.
kwa leo inatosha.
Tatizo ile dini yake na sisi haviendani..hiki chama chetu bwana sio chao,hayo mambo yake akafanyie kwa waswahili wenzake kule cuf hapana hapa.