.....😀😀Na Kingi naye ni nani? Na Veracity naye siku hizi vipi? Jamani watu wamebadili ID hadi JF inapoteza ladha
Sijui itakuwaje siku bht, Nguli, carmel, Geoff, FL1, Chrispin, Kaizer, Mzee Mwanakijiji, Sipo, MJ1 na wengineo wakibadilisha IDs zao ina maana watabdilisha na staili za uchangiaji wao au kuna kitu wanakikimbia au kukificha
hapo chacha!!!!!!!!!!!!!!!.....😀😀
why should i?
wengine wanabadilisha Id zao kwa kuwa hawataki tena wajulikane wao walikuwa nani sasa hapo inakuwa ngumu....
Na Kingi naye ni nani? Na Veracity naye siku hizi vipi? Jamani watu wamebadili ID hadi JF inapoteza ladha
Sijui itakuwaje siku bht, Nguli, carmel, Geoff, FL1, Chrispin, Kaizer, Mzee Mwanakijiji, Sipo, MJ1 na wengineo wakibadilisha IDs zao ina maana watabdilisha na staili za uchangiaji wao au kuna kitu wanakikimbia au kukificha
ha haaaaaaaaaaaaa! pole we.....what?
Hawa wako wapi wakuu?
Sita sita
Sunshine
Mhafidhina
Sanda Matuta
Son of Alaska
Felister
Lagatege
Khoryere
huyu ndie Binti Maringo siku hizi mabo ya kubadilisha ID tu haya na inawezekana hata hawa wengine wamebadili majina tu lakini tuko nao kila siku. Ila mimi nitaendelea kubaki Sipo daima
Wapii Nyani ngabu!!!!!
Mimi nataka kuwajua hawa waliobadilisha majina ni akina nani
1. De Novo
2. Babra
3. Charity
na wengineo
Alaaa.De Novo=MTN
Wapii Nyani ngabu!!!!!
Jamani shemeji yangu alikuwa likizo amerudi juzi tu (muelewe tu he is a nice guy)Kweli bwana.
Lakini alikuwa mkorofi kiasi.
yuko wapi Chrispin or Iribini
BURN, where are you?