Hawa wageni wanaokuja Serengeti kuna Hela inabaki au ni Hewa tu na vigelegele?

Nimekupatapata kwa uzuri ndugu.

Mimi pia nina marafiki na jamaa zangu huko nje ambao huwa wananipa hizi nondo kama hizi zako.

Hivyo cha muhimu ni website na internet connection ya uhakika saa 24 kwa 7.
Yes, website na internet ni muhimu, na fast response, siku zote tambua kuwa request hujatumiwa peke yako, wametumiwa na wengine, your fast response is key.
 
Yes, website na internet ni muhimu, na fast response, siku zote tambua kuwa request hujatumiwa peke yako, wametumiwa na wengine, your fast response is key.
Kwa ujumla hiyo pesa maini analipa kwa ajili ya kibali kuua huyo mnyama. Ambapo inaingia moja kwa moja serikalini.
Hizo acccomodation na vinginevyo ni nyongeza tu.
Ofcourse mwekezaji anamega chake na anamlipa na agent.
 
Hii haitokei TZ peke ake lakini. Duniani kote ndivo ilivyo.

Hata wewe ungeweza kulipa kila kitu kwa agent wa Tanzania ukenda zako Greece usilipe kitu as long as the service you are using is paid by your agent.
 
Back
Top Bottom