Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,782
Sasa hivi kuna wimbi la wageni maarufu wanaokuja kutembelea Serengeti yetu na kwingineko, sasa swali langu ni je kuna hela yoyote ya maana inabakia hapa nchini kwetu au ndiyo hivyo kila kitu kimeshalipiwa Ulaya kwa wamiliki wa mahoteli wanakuja kulala na kuburudika halafu kusepa?
Nauliza hivi isije kuwa tunapiga vigele gele kama tulivyozoea na kutaja majina makubwa yamekuja kwetu lkn kiuhalisia hawakutumia hata Shilingi hapa Bongo!
Hivyo ningependa Serikali kama ikiwezekana iseme ni kiasi gani huwa hawa watu wanaacha hapa TZ ili tujue kama inalipa au la, kwa maana wakati mwingine utakuta wanakuja na ndege za kukodi tax free, wanalala kwenye Hoteli zinazomilikiwa na Wazungu ambapo imeshalipiwa huko huko Ulaya, na kiasi kidogo sana ndiyo kinabakia hapa nyumbani, ...
Mchezaji wa A.Madridi akiwa Serengeti, kama huyu kaacha kiasi gani Bongo?