Hawa wadudu wanao wakawaka usiku

Hawa wadudu wanao wakawaka usiku

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,276
Wakuu naombeni mnijuze kiundani kuhusiana na hawa wadudu, kuna sehemu wanaitwa vimulimuli[emoji856][emoji856]

Huwa wanakuwa wengi msimu wa mvua hasa majira ya usiku, huwa utawaona wengi wanawaka waka fulani hivi......

Mimi huwa siwaelewi kabisa, inakuwaje wanatoa mwanga mithiri ya indicators za gari?

Je huo mwanga unazalishwaje katika mwili wao? Au wanauakisi mchana? [emoji848][emoji848]

Siwaelewagi kabisa! Mnijuze aiseee[emoji41][emoji41]

Hawa ni aina gani ya wadudu, na wanaitwaje kitaalam(kisayansi/kiingereza)?
 
Ngoja wataalamu wa wadudu waje.

Zamani kabla Biology haijanikomboa nilikuwa naamini hao wadudu uhusiano na wachawi na wanatumiwa na hao night movers, kumbe wapi!Ni maumbile yao tu.Wana uwezo fulani waliopewa na Mungu uitwao "bioluminescence" ndo unawafanya wawake wake.

Baada ya kuelemika nilianza kuwapenda sana hao "Kimulimuli Jazz Band".
 
Mkuu wanaitwa Lightning bugs.. Au jina lingine wanaitwa Fire flies.. Wana produce mwanga kwenye abdomen..

Kwakuwa nimekupa jina.. Nenda Google kawatafute
 
Wanasema wakikuingia kwenye kucha, kucha huoza.....Hii ikoje mkuu!?
Ngoja wataalamu wa wadudu waje.

Zamani kabla Biology haijanikomboa nilikuwa naamini hao wadudu uhusiano na wachawi na wanatumiwa na hao night movers, kumbe wapi!Ni maumbile yao tu.Wana uwezo fulani waliopewa na Mungu uitwao "bioluminescence" ndo unawafanya wawake wake.

Baada ya kuelemika nilianza kuwapenda sana hao "Kimulimuli Jazz Band".
 
Wakuu naombeni mnijuze kiundani kuhusiana na hawa wadudu, kuna sehemu wanaitwa vimulimuli[emoji856][emoji856]

Huwa wanakuwa wengi msimu wa mvua hasa majira ya usiku, huwa utawaona wengi wanawaka waka fulani hivi......

Mimi huwa siwaelewi kabisa, inakuwaje wanatoa mwanga mithiri ya indicators za gari?

Je huo mwanga unazalishwaje katika mwili wao? Au wanauakisi mchana? [emoji848][emoji848]

Siwaelewagi kabisa! Mnijuze aiseee[emoji41][emoji41]

Hawa ni aina gani ya wadudu, na wanaitwaje kitaalam(kisayansi/kiingereza)?

Nikiwahi kuona makala Youtube ikiwaelezea.Kuna mfumo wanatumia ambapo kemikali maalumu hupambana na kutoa mwanga. Kitu kama oksijeni na calicium(sina hakika sana).

Lakini mwanga inadaiwa mwanga unaozalishwa hauzalishi joto kama bulb yako sebuleni maana itakuwa hatari kwa kiumbe huyu.

Mwanga huwasaidia yafuatayo:
1. Kutambuana kati ya jinsi moja na nyingine. Maana yake me na ke hutoa mwanga wenye nguvu tofauti.

2.Ni namna ya kuvutiana kufanya "ngono." Inasemekana madume ndiyo hushindana kutoa miali mikali. Jike atavutiwa na dume mwenye tochi ya ukweli.

3.Jamii moja na nyingine hutofautiana kwa mwanga. Hivyo,husaidia kutambuana

Wadudu hawa ni "nocturnal" , yani huwa active usiku kama vile mende na panya.

Wenye fani zao watadadavua zaidi

Ninawasilisha
 
Back
Top Bottom