Hawa wadada watasababisha nihame nyumba

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,235
Reaction score
2,512
Habari za asubuhi wajameni! Hapa nilipopanga(uswazi street) nipo jirani na madada fulani ndani ya nyumba moja ya kupanga.
Hawa wadada ni warembo haswa na nilikuwa na mpango wa kuwatokea siku moja. Sasa nimekuja kugundua kuwa nikiingia chooni tu wanakuja kukaa kwenye baraza karibu na choo, wanajifanya wanasuka, nikitoka na kuanza kucheka ila, sasa juzi nikaingia tena wanaanza kucheka! hawa wadada hawafai, hapa nataka kuhama sina hamu na uswazi.
 
Mimi nilidhani wamekubaka kumbe ni ku-ya Tu.Ebu usiwatie aibu wanaume wenzako ebo!!!
 
Sasa kipi cha ajabu kinachokukimbiza mkuu ? huku ndo uswaz na ndo vitu vya kawaida tu..!
 
subiri na wao wakiingia ukae ucheke ..........

Grand PA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…