corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,397
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hii ndio maana ya waifu matirioMkuu wapo sana ila hawana tako wana matumbo makubwa na hawaend n fashion.kila la heri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuwa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu saana, nimetembelea sehemu tofauti za starehe na burudani kwa muda mrefu saana, kwa kuwa mimi ni mkristo nimeenda kanisani saana ki uweli nimejaribu kufanya uchunguzi kwa wasichana na wasasa 70% ni pasua kichwa, hawajitambui na hawana future za maisha!
Leo nimejaribu kuja hapa kuuliza na kupata ushauri kwa hawa wife material + future women wapo wapi? na wanapatikana vipi?
Je hapa JF wapo? na kama wapo tunawajuaje??
na kwa sisi wenye uhitaji wa Warembo wa aina hii tunaweza meet nao wapi na vip??
Fanya ukuje pm wapo wawil jirani hapa[emoji23][emoji23]Ukimpata mmoja wao naomba namba pm
Sio wote usiogope dada[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] wote?
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hii ndio maana ya waifu matirio
Nikajua wote ndo wapo hivyoSio wote usiogope dada[emoji16][emoji16]
Unakua unakosa vigezo vya kua kwenye hiyo list?Nikajua wote ndo wapo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa na tumbo kubwa na kutokuwa na chura vinahusiana vipi na kujitambuaUnakua unakosa vigezo vya kua kwenye hiyo list?
Inasemekana kua wengi wao wenye hivyo vitu ndo hao wanaojielewa zaidi ukilinganisha na maslay queen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa na tumbo kubwa na kutokuwa na chura vinahusiana vipi na kujitambua
Sawa mkuuInasemekana kua wengi wao wenye hivyo vitu ndo hao wanaojielewa zaidi ukilinganisha na maslay queen
Wewe upo kundi ganiSawa mkuu
Mkuu,una maana gani hapo "" ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..""Wengi wanaojitambua ni vibonge..
na wengi hawataki vibonge, hapo ndo wanapopishana.
changamoto kubwa ya vibonge ni kwamba wapo sensitive sana na miili yao, unaweza ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..
ila wanafaa kujenga nao familia.View attachment 1222175View attachment 1222176
La wasiojitambuaWewe upo kundi gani
mwanaume unaweza ukawa mcheshi balaa mkikaa mnapiga story fresh anaenjoy ila sasa mkiagana yeye akirudi kwake akivua nguo akijiangalia kwenye kioo anaanza kushangaa nyama zake, anasononeka.Mkuu,una maana gani hapo "" ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..""