Hawa Vodacom wanaumwa!!

Hawa Vodacom wanaumwa!!

Voda wamekula tsh 3600 zangu sasa hivi. nataka kujiunga na cheka ya wiki hawakuniunganishia na salio lote limeliwa.
 
Lengo la mitandao ni zuri tu mteja nunua bando ya Internet pekee ndio Lengo kubwa
 




Kodi zikipanda, mitandao yote hubadili bei au vifurushi vyao.
Lakini kodi kupanda bado kwa sababu bunge ndo lipo kwenye bajeti, na hata kama watapandisha kodi inaanza kutumika tarehe 01/07 Mwaka wa fedha nadhani mitambo yao inazidiwa na uwingi wa watu wenye kutumia internet inabidi wafanye hivyo ili kupunguza matumizi
 
Ukisikia price-fixing basi ndio hii. Yaani mitandao yote inapandisha bei pamoja na kwa viwango vinavyofanana.
 
Lengo la mitandao ni zuri tu mteja nunua bando ya Internet pekee ndio Lengo kubwa

Kama wangekua na nia hiyo wao wangeweka vifurushi vya dakika peke yake na vya intanet tujiunge kama zaman tu, kuliko wafanyavyo sasa
 
Mi asa hivi nina lain za TIGO,VODA & AIRTEL kazi yangu ni kuangalia nani mwenye unafuu zaid ya wote kisha ndo najiunga.

Huo ndio mpango mzima. Wezi unawahama tu. Tena simu line tatu wala hakuna shida unaenda kwenye unafuu tu.
 
Back
Top Bottom