TTCL ndio alfa na Omega
Mkuu hebu hapa fafanua
TTCL ndio alfa na Omega
Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.
Hata Tigo wamepandisha bei. Shilingi 649 sasa zinakupa dakika 17 za Mini Kabang badala ya 20. Hii nimeiona kuanzia leo.
Huwa natumia baba lao, leo bando likaisha mapema nikaamua kuvuta ya 500 voda mpesa. Wakanipa dk10, nimebaki nashangaa ujue. Kama ni hivyo hawataniona tena, narudi kwa baba lao kifurushi cha wiki.Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia
Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??
Leo wamenikasirisha sana,Wameshaona hii nchi ni shamba la babu kila mtu anavuna,viongozi wako bize kushughulikia dili zao,hawana muda na wananchi
Leo nimenunua kifurushi cha sh 499, yani sina hamu nao tena.. Narudi zangu airtel,
Mkuu bado naona Vodacom wana vifurushi vizuri ukizingatia kuwa mitandao mingine haijaleta vifurushi bomba zaidi ya kushusha idadi ya MB na dakika.Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia
Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??
Vilevile hao Airtel wameshusha toka dakika 40 kwa sh 1900/-hadi dakika 35.
Babalao kwa 500 unapata dakika ngapi?Huwa natumia baba lao, leo bando likaisha mapema nikaamua kuvuta ya 500 voda mpesa. Wakanipa dk10, nimebaki nashangaa ujue. Kama ni hivyo hawataniona tena, narudi kwa baba lao kifurushi cha wiki.
Mtende nadhani ni Unlimited kwasababu utaendelea kutumia intaneti hata kama kifurushi kimeisha sio?Halafu hata hiyo internet yao ya unlimited kwa buku ni wizi,maana ukidownload movie moja tu wanakwambia kifurushi.kimekwisha endelea kutumia at low spees,sasa si bora wasingeweka unlimited,wezi kabisa hawa