Hawa viumbe huwa ni wa aina gani?

Hawa viumbe huwa ni wa aina gani?

Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kuniambia kwamba tabia za wanadamu wa kawaida zinashabihiana na wanyama waliopo mwituni kwa kiwango cha ukaribu sana, sikutaka kubisha ila niliondoka na ufahamu huo..aliwahi kusema kuwa, kama walivyo nyoka, vinyonga, fisi, nguchiro, simba chui na binadamu pia wapo vivyo hivyo so huenda huyo mtu naye ana katabia ka mnyama fulani mwa mwituni!
 
Back
Top Bottom