Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Unakuta mtu ye kila mtu ni mbaya kwake,kila rafikikwake mbaya hana rafiki mzuri,,,ni kusema wenzie tu,,,kama kaolewa ukweni kwake nako ni wabaya tu,,hivi hawa watu ni wa aina gani yaan hawanaga hata mtu mmoja au wawili wazuri ye wote wabaya
Kuna dada kaolewa kwa nisogeze nikuvute yaan hana rafiki mzuri wote kwake wabaya,,anawasema wenzie vibaya,,,akiongea utasikia mama mkwe wangu ana roho mbaya,wifi wabaya,ndugu zake wabaya,
Mpaka mashoga wanaanza kumtenga wamemchoka kwa tabia zake za kusema wenzie utafikiri ye malaika,,wakati mambo yake ukisimuluwa waweza lala mwaka mzima ndio ukaamka
Hawa watu huwa wanaumwa akili au,,
Maana we mtu gani uone wote wabaya we mzurii
Halaf kutwa kujisifia wakati maisha magumu tu
Au ugonjwa wa akili
Hivi na nyie hukp kwenu kuna watu wa hivi??