kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,300
Ni tatizo la kisaikolojia..mtu ana loose confidense and so ana overreact kama defensive mechanism therefore kila mtu kwake yeye ni mbaya,ata umfanyie nini at the end atakuona mbaya..mara nyingi huwa ni tatizo la kurithi(genetic) lakini pia watu wenye mali nyingi hua ivyo ilil kuweka distance na maazoea kwa watu akihofia kupotea kwa mali zake..maisha magumu pia na changamoto za maisha huleta hilo tatizo..kwa kifup ni matatizo ya msongo wa mawazo(depression)..
Watu wa aina hii huweza kufanya tukio la kutisha Au kustajabisha na ulimwengu mzima usiamini so watch it
N:B dawa zipo na tatizo linatibika kabisaa cha msingi muone daktar wa magonjwa ya akili atakusaidia
CHANGAMOTO:watu wa aina hii ni vigumu sana kuwashawish kwenda hospital kwan hujiona wamekamilika bila wao kujua.