Hawa vitoto vya kiume wa siku hizi hawanaga adabu

Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!

Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!

Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!

Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.
Najisikiaga poa sana kutongoza na kugegeda mwanamke mkubwa kiumri zaidi yangu!! Najisikia mwanaume zaidi!!
 
Mwanamke aliekuzidi umri ana ladha Fulani ya ajabu kuliko agemate wako . au underage

Ukinasa kwenye penzi lake ni vigumu kutoka .

Nilishawahi kunasa kwa Dada alinizidi five years halafu mzuri balaa na anawatoto watatu hana kazi nilikuwa nampiga Tafu kimaisha
looohhh
 
True dat
 
Hapa kanisa jirani na kwetu nimemsikia mwanamke anatafuta wa kumuoa kuanzia miaka 19-40.
Yeye kwa sasa anahitaji kuolewa tu, hana haja na mengine!
Kama mtu anatangaza namna hiyo kwanini miaka 24 asiweze ?
 
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!

Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!

Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!

Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.

Mi mwenyewe mmoja wapo...nikubali uone kama sitakuhonga dunia na vyote vilivyomo ndani
 
Anajipigia promo tu huyu ili tujue huwa anatongozwa sana na vijana wa kazi....

Biashara ni matangazo...
 
Back
Top Bottom