Hawa vitoto vya kiume wa siku hizi hawanaga adabu

Nyinyi wadada wakubwa mbona tukiwapaga SHIKAMOO hua mnazikataa

Wadada wakubwa ni watamu sana.Hua sijutii hiyo sample

Age ni kwenye kufunga ndoa tu.Ila kugegeda hata mwanamke wa miaka 50 atapitiwa tu
 
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!

Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!

Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!

Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.
Ng'ombe hazeeki Maini.
 
Afazali ww umeliona hilo.....siipendi hii tabia ya watoto kutongoza watu wazima
 
Kudate na dada anaekuzidi umri ni raha sana kwanza anakua anajielewa hivi visichana vidogo stress tupu vinawezana na wazee viwaendeshe wanaopiga kimoja tu na kuomba varium.

Mdada miaka 30 wanakuwa waelewa sana na wanamapenzi ya dhati afu ukimuhtaj hana kona kona visichana bwebwe nyingi sana mpaka maoldskul yanakera.

Hapa kazi tu,mashangazi ndo utamu mpya mjini.
Viva Vijana Vivaa.....!!!
 
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!

Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!

Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!

Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.
25 to 30 mbona pazuri tu, inategemea na maumbo ya wahusika usishangae ukaambiwa utaje mwenye umri mkubwa ukafanya vaisi vesa.
 
Hehehehehe huyu niliyempataga Mimi kuna siku tulikuwa room kwangu kaja night kama SAA 5 hivi maana tulikuwa majirani .

Ananiambia "hivi unajua mi ni Dada yako haya niamkie sasa hivi hapo nilikuwa nishamtengebeza na kafurahi .

Nikamwamkia " shikamoo Dada naomba nikumbato"

Hehehe kilichofuata ni kicheko na kibao cha uso halafu akakamata mike kazi ikaanza tena .
 
Vijana wanajua kisimamia shoo.
I mean ni viungo wqchezeshaji wazuri sana.

Ukitaka show za kibabe ni wewe tu show za kistaarabu likewise ni wewe tu na chaguo lako wanapiga show hadi mdada unasahau stress zako.

Wapeni vijana nafasi wafanye yao hamtajutia kuwa nao.
 
Back
Top Bottom