Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.