Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.
 
Umeongea point kubwa mno mkuu.
Lianzishwe kabisa jukwaa la watoto wanatukata stimu ile mbaya
 
Jamani hamna watoto nyie mnaojiita watu wazima?Na watoto wenu huwa hamuwapi uhuru wa kutoa mawazo yao katika mambo mbalimbali ya familia?Kwangu mimi naona tuwape nafasi na wala haina haja ya kuwabagua,cha msingi wanapokosea tunawarekebisha na maisha yanaendelea,tukiwatenga hawataweza kupata mawazo,changamoto na hekima zetu amabzo wanazihitaji sana
 
Wenyewe kila siku kulalamika tu demu anakunywa bia ya bei mbaya,anakuja na marafiki,hapokei simu,anaringa yaani taabu tupu kama hela haitoshi si uniombe mimi baba yako sijui wanatuita 'dingi'.
 
Wewe unaweza kuongea na mtoto wako eti demu kanifanya hivi na vile??
Kuna mambo ya kuongea si kama hayo
 
akijilengesha kandamiza ila ujue jera ipo waz kwa ajil yako pia au co kijana
 
Jamani hamna watoto nyie mnaojiita watu wazima?Na watoto wenu huwa hamuwapi uhuru wa kutoa mawazo yao katika mambo mbalimbali ya familia?Kwangu mimi naona tuwape nafasi na wala haina haja ya kuwabagua,cha msingi wanapokosea tunawarekebisha na maisha yanaendelea,tukiwatenga hawataweza kupata mawazo,changamoto na hekima zetu amabzo wanazihitaji sana
Sijasema tuwatenge ila tuwapo jukwaa wanaloweza kubadilishana mawazo/uzoefu hapa wawe wanapita kama reference tu.
 
Wenyewe kila siku kulalamika tu demu anakunywa bia ya bei mbaya,anakuja na marafiki,hapokei simu,anaringa yaani taabu tupu kama hela haitoshi si uniombe mimi baba yako sijui wanatuita 'dingi'.

Hapo kwenye red umenimalizia maneno kabisa sina la kuongeza
 
Wenyewe kila siku kulalamika tu demu anakunywa bia ya bei mbaya,anakuja na marafiki,hapokei simu,anaringa yaani taabu tupu kama hela haitoshi si uniombe mimi baba yako sijui wanatuita 'dingi'.

Uporoto we ni mtu wa mapoint kweliNakuaminia!
 
Ni kweli kabisa kuna watoto wengi sasa hivi......nadhani tunaweza kuwachambua mmoja baada ya mwingine na kuwapa sehemu yao katika jukwaa......
 
Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.

nafikiri ni vyema tukawaacha ili wapate uzoefu kutoka kwa waliokwishapitia hayo mambo! wakifunguliwa jukwaa lao, nani atawashauri?
 
Jamani hamna watoto nyie mnaojiita watu wazima?Na watoto wenu huwa hamuwapi uhuru wa kutoa mawazo yao katika mambo mbalimbali ya familia?Kwangu mimi naona tuwape nafasi na wala haina haja ya kuwabagua,cha msingi wanapokosea tunawarekebisha na maisha yanaendelea,tukiwatenga hawataweza kupata mawazo,changamoto na hekima zetu amabzo wanazihitaji sana

mmmhh jamini wewe embu acha hivyo..
jamani jamni Joseph mie wanitisha kama we waongea na wanao mambo ta bata au tigo na viyu kama hivyo..
ni sawa kuwafundisha na kuongea na wanawe kuhusu mambo ya sex na relationship..
kwenye hili jukwaa la MMU mambo mengi sana yaendelea humu...
kama huyo juzi huyo dada anataku lala na baba mkwe wake..
Je wataka mwanao kujua au kufuata mambo hayo?/
kijana au dada wa miaka 18 na chini mie naona si sawa kabisa kwa wao kujiunga na JF..
na je wakiruhusiwa kuingia kwenye mambo ya kikubwa si ndo balaa kabisa dear..
mmhh nadhani kama we umewahi ingia kule kwa wakbwa hutapenda mwanao wa chini ya umri wa miak 18 aingie..

kwa hiyo mie namuunga mkono mpendwa wangu Uporoto kwenye hili..
 
nafikiri ni vyema tukawaacha ili wapate uzoefu kutoka kwa waliokwishapitia hayo mambo! wakifunguliwa jukwaa lao, nani atawashauri?

Tutawaomba Aspirin na Mwanajamiione watakuwa wanapita huko kuwashauri/kujibu maswali yao.
 
Mkuu hawa madogo wanahitaji, hebu soma signecha yangu.......!

Siyo siri hawa madogo na mathread yao sijui mama mkwe ananitaka, sijui wanawake wote wa mjini wametoa mimba, sijui jinsi ya kumpata demu wa kichaga et el wanaboa sana.

Jukwaa la watoto ni wazo jema Naunga mkono hoja.
 
Matatizo hayana wakubwa wala wadogo.... basi kama wanamatatizo basi tunasaidiana kama kuna uwezekano sasa wakitengwa ni nani atakayewashauri??
 
mmmhh jamini wewe embu acha hivyo..
jamani jamni Joseph mie wanitisha kama we waongea na wanao mambo ta bata au tigo na viyu kama hivyo..
ni sawa kuwafundisha na kuongea na wanawe kuhusu mambo ya sex na relationship..
kwenye hili jukwaa la MMU mambo mengi sana yaendelea humu...
kama huyo juzi huyo dada anataku lala na baba mkwe wake..
Je wataka mwanao kujua au kufuata mambo hayo?/
kijana au dada wa miaka 18 na chini mie naona si sawa kabisa kwa wao kujiunga na JF..
na je wakiruhusiwa kuingia kwenye mambo ya kikubwa si ndo balaa kabisa dear..
mmhh nadhani kama we umewahi ingia kule kwa wakbwa hutapenda mwanao wa chini ya umri wa miak 18 aingie..

kwa hiyo mie namuunga mkono mpendwa wangu Uporoto kwenye hili..

Mjukuu umenena vema. Ntakutafutia zawadi.
 
Uporoto we ni mtu wa mapoint kweliNakuaminia!
Haiwezekani kila siku tukawa tunajadili wanawake wa kichagga humu ndani ambao kauzoefu kangu kananionyesha ni zaidi ya nusu hapa hizi ni thread za kitoto.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom