Hawa startime wametuhadaa jamani

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
ki ukweli nasikitishwa na kitendo chd kampuni ya startime kwa kuhamasisha wateja wake kununua kifurushi cha uhuru ili kuweza kuangalia michuano ya euro.kilichotokea ni ubc wameonyesha gemu moja hadi hv sasa hakuna gemu nyingine.najuta kuwafahamu hawa wajamaa
 
Wahuni sana, nimekaa ktk Luninga muda mrefu sana natafuta huo mpira, kumbe hao StarTimes wamtudanganya. Ovyooooooo!
 
Hawa ndo ccmtbc na mawakala wa kichina, wameambiwa waonyeshe chanel zote za TZ hawataki ni wababe mno,
 
ki ukweli nasikitishwa na kitendo chd kampuni ya startime kwa kuhamasisha wateja wake kununua kifurushi cha uhuru ili kuweza kuangalia michuano ya euro.kilichotokea ni ubc wameonyesha gemu moja hadi hv sasa hakuna gemu nyingine.najuta kuwafahamu hawa wajamaa

Ni wezi siku nyingi huna habari? Mchina na TBC wanajua wanachokifanya!!
 
Wahuni sana, nimekaa ktk Luninga muda mrefu sana natafuta huo mpira, kumbe hao StarTimes wamtudanganya. Ovyooooooo!

Wamenikata stimu sana,ukizingatia umuhimu wa game za leo,****u ubc,**** u startime in general.
 
...Tatizo sio Star Times. Tatizo ni sisi Wadanganyika kwamba hatutachukua hatua yoyote...Grandmother's Farm, remember?
 
Mtadanganywa sana ukizingatia hata wachina wameshajua kuwa wote ni wadanganyika
 
hapana watanzania tumekuwa wapole sana na amani ya kupumbazwa i wish akatokea mtu akatulisha unga wa rutupa watatujua sisi co wanyama wakawaida
 
tafuteni wanasheria wawasaidie kuwafungulia mashtaka hao star times kwa kuwauzia bidhaa feki.
 
ndugu wana JF hawa startimes kwa maelezo yao ni kuwa wao walipewa taarifa na UBC kuwa wataonyesha euro, kwa kuwa ubc inapatikana katika chanel zao ndio maana waliamua kuwajulisha wateja wao kwa kupitia ujumbe usemao 'furahia kombe la EURO kupitia chanel ya UBC', kwa bahati mbaya hadi muda ile game ya kwanza inaanza ambayo ilionyeshwa startimes kama walivyoambiwa na UBC walijua game zote zingeruka hewani lakin walishangaa kuona game ya pili haijaonyeshwa.

mawasiliano yalifanyika haraka na watu wa UBC ambao jibu lao lilikuwa hawana authority ya kuonyesha mechi zote. kwa hiyo startimes ikabidi wanywee kwa promisi kuwa UBC wanaonyesha mechi nane tu!!! 4 za makundi, 2 za robo fainali, 1 nusu fainali na 1 fainali. na kwamaelezo waliyoambiwa lazima UBC iwe free to Air, na ndo maana Jumapili jioni startimes waliiweka UBC kuwa free, lakini chaajabu UBC mechi ilipoanza UBC wakakata matangazo kwa kisingizio kunamatatizo ya kiufundi (hapa nadiriki kusema DSTV kafanya kazi yake)

Sasa startimes ili isiwaangushe wateja wake ikawabidi waende ATN wakaongea na hawa jamaa na wakafanikiwa 'kuirent' ATN mpaka mashindano yatakapoisha ili tu wateja wafurahie mpira kama walivyoaidiwa na ndiyo maana ukiwasha king'amuzi chako utakuta katika UBC wameireplace ATN

Sasa kitu cha kukumbuka UBC na ATN wanaauthority ya kuonyesha almost 20% ya mechi zote, which means about 8 matches only kwa hiyo wateja wa startimes wataangalia match kupitia hiyo ATN na ni mechi nane tu ikiwemo ya leo ya England na hispania.
 
Umewasha king'amuzi chako ukaona Atn au unabashiri?mi kwng haipo sijui kw wengine.
 
ATN ya Mtume Vendros wanaonyesha free of chaRGE gemu zote huhitaji kuwa mfuasi wake
 
Mpwa hivi yule alipataje utume? Nafikiri alimaliza popatlal miaka ya mwisho ya sabini!
 
Back
Top Bottom