Hawa star times wanakera sana jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa star times wanakera sana jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtaratibuuuuuu, Oct 4, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo system yao waliyoianzisha ya vifurush vya channel 35 na channel 45 mbona siyo?,eti ukitaka channel 35 ulipe 9000 ukitaka ya 45 ulipe 18000 kwa mwezi,channel 10 tu wameweka hela hiyo kwa nini wasiseme chnl 70 kwa 18000,halaf kwanza zinakwamakwama halaf wanaongeza hela badala ya ubora, wanakera hawa looo
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Tupa kwenye ustbin, tirdo aliondoka na mabo yote ndo yanakufa, marketing hawajui kabisaa? Nilikuwa nalo hilo dude ila namtafuta fundi amodify liwe na gem ya watoto!wameliseti chenel 101-138 zinaonesha ila zinabadilika kila siku, chanel 200--- ukiweka ''not subscribed'' sasa nashindwa kuwaelewa sijui wanatuona watoto au wameshiba pesa au wateja waliokuwa wanawataka wamewapata then wanataka kuwapunguza?sijui labda mshana ndo strategy zake!anyway jamaa wamepoteza mwelekeo nafanya mpango ninunue ting!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  takataka hao, achana nao mimi nimeshayatupilia kwa mbali. Utajipa pressure bure maana yanabore kishenzi. Shit them and forever
   
 4. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan nilidhan nakereka mwenyewe kumbe 2ko weng,na kwel biashara hawajui,walikuwa na promoshen ya ukilipa miez mi3 unapata m1 bure au 6 unapata mi2 bure,sasa promo imeisha mwez wa 9,wa2 2melipia mpaka jan nimewauliza wanasema kama unataka kuona hiz chanel ambaz hazonekn angalia salio lako halaf ongeza hela,aaaagh yaani cjui wanawaza nini vichwan mwao
   
 5. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bandugu,tatizo huwa sipendi madishi,madishi makubwa juu ya nyumba yangu. Ni kampuni gani nyingine ya kulipia ambayo wanatumia antena za kawaida nikalipie fasta niachane na hawa startimes?.
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Easy tz ingawa sijawahi kuona channel zao.
   
 7. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Afadhali umenisaidia kusema. Sikujua nisemee wapi. Kwanza hawakutangaza hivyo vifurushi. Wamekurupuka wakati wengine tulishalipia 9000 kwa channel zote. Halafu inakatika katika kama inafanya downloading vile. Nimewaeleza hawana jibu. Kwa ujumla ni kero.
   
 8. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Me natapika kabisaaaaaaaaaaaaa watia hasira sana hawana akili hawa jamaa yaani chanel zenyewe ni 35 ambazo hazina kichwa wala miguu harafu katika channel kumi za kuchina STV 1,KUNGFU CHANNELY,FRANCH TV,hata kumalizia naona kinyaa kitupu wanaudhi sana hawa jamaa!******* zao ni bora mtu ulipie hela nyng lkn afadhali kidogo uwe na nafuu hawawezi biashara warudi wajipange kwanza!
   
 9. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Mi naomba wanaoendelea kulipia wakienda kwenye ofisi zao wawaambie watembelee JF waone soko lao linavyokufa
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  From 9000 to 18000..kwa ajili ya channel kumi tu., pia katika hizo 10, tatu ndo za maana, zilizobaki ni utumbo.
   
 11. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani mi tatizo langu ni kuhusu chanel10 inaonesha but hakuna sauti.
  Nawashauri startimes kama wameamua kuweka packages, wajitahidi warekebishe mteja asiweze kuziona zile asizotakiwa kuziona kutokana na package aliyo subscribe. Unajua ina bore sana pale mtu umezoea kuitizama MTV Base lakini leo hii unaambiwa "not subscribed".
   
 12. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Wanadai by 2012 mfumo wa analog hautakuwepo...hv sh.18000 watz wangapi wanaweza kuafford...naanza kuhisi ni mkakati madhubuti wa kuwakosesha raia fursa ya kupata hbr,tuendelee kuwa vipofu na watawala waendelea kula kwa mrija bila bugudha
   
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Jikaze uamie DSTV
   
 14. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora bac ktk walizoongeza wangeweka za tz kama startv na itv labda,ila wameweka zakichina,nyingine lugha yao kama wana22kana,yaan,kaka unasema chnl 10,hiyo tbc 2,clouds tv,kbc sauti zao ziko chin,bt pia kukatika kwa matangazo 2 c haba,wangerekebisha kwanza ziwe vizuri ndo wa2tangazie maki2 yao hayo mapya
   
 15. l

  luckman JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mi nadhani hamjajua, startv hawawezi kuweka, itv hawawezi make naona bifu na siasa ndo dili hapa mjini na sio biashara!hawa jamaa wangekuwa na umoja wakakaa na kuunganisha nguvu yani, startv+chanel 10+itv+eatv+.......all local channels then wakatafuta ni jinsi gani kila mtu atafaidika nadhani wangefanya biashara!wewe unatuwekea kungfu, sijui animax wenyewe wanaongea kifaransa mara chinese tv kibao nani anaona haya makitu au wachina ni wengi sana nchini na serikali inajua na ndo imeamua rasmi kuwatambua kwa kuwaimarishia huduma AU KWA KUWA VINATENGENEZWA NA WAO ?nini hikijamani nani anasimamia uozo huu, channel iliyopo leo inawezekana kesho uikakuta imeondolewa, au tbc2 haina sauti au cahnnel ten au sibuka! mimi sijui, nataka nimpate FUNDI ADESIGN HILI DUDE LIWE GEM LA WATOTO MAKE NIMETAFUTA WATU WA KUWAGAWIA WOTE WAMELIKATAA!NANI ANIAZIME SHREDER JAMINI AU NILITUPE BARANBARANI MAGARI YALIKANYAGE????
   
 16. l

  luckman JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Tupo kwenye mazungumzona vijana wetu wabunifu hapa mjini! Tuone ni jinsi gani watasaidia kutengeneza antena ya kukamata all local channel! Make hii misukule inatutesa!tukipata nguvu zaidi tutaania dstv!
   
 17. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mi lakwangu nimeacha kulipia tangia mwezi wa 8.
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mbona huku mikonai wenzenu tunakula raha mpaka basi. Yaani kwa cables tu madude ya kufa mtu ambayo dstv wanayauza kwa madolali kibao, huku tunajimwaga kwa kati ya 10,000 na 15,000 kwa mwezi na tunaona mechi zote za premier league, spain na italy. Poleeeeni!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawa nao mtindo wa kulipia kwa dola unatuumiza wengi...
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii nayo kuna kipindi COSOTA walipigia kelele eti ipigwe marufuku, sijui walifikia wapi??
   
Loading...