Hawa SPANCO wanapatikana wapi??

Mabwepande

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
230
51
Nasikia hawa SPANCO ndo wanahusika na ku recruit customer care AIRTEL. Mwenye kujua zilipo office zao naomba atujuze, kAma vipi tukatupie CV.
 
kwani mzee ni kiwango gani cha elimu kinachoitajika kuwa customer care Airtel mi ni mwaka wangu wa mwisho chuo hapa Dar na ratiba yangu imejiachia sana kwani siwezi kufanya hii kazi au hawana shifting ? kama vipi ili na mimi nipeleke cv kama mdau hapo juu.naomba msaada wako ndugu yangu.
 
sidhani kama inawezekana, sababu fresh graduates wengi nao wanasikilizia ni vyema umalize chuo kwanza.
 
Back
Top Bottom