tena hayo wachukue yote hata yale yanayo fugwa!manguruwe pori je??
Mpaka CCM watoke madarakani nchi itabaki ukiwa ikisubiri uumbaji mpya!yaani wanahamisha wanyama wetu wazuri wanatuachia fisi!mbona wasichukue fisi!!!
yaani wanahamisha wanyama wetu wazuri wanatuachia fisi!mbona wasichukue fisi!!!
tena hayo wachukue yote hata yale yanayo fugwa!
kweli mkuu ukilinganisha na wale wanao wachukua!!!Inaonekana manguruwe yanakuudhi sana...
Kadri siku zinavyokwenda nawe unazidi kupendeza.Hiyo naona ni Zoo........well.....are you in England.......?.....we can meet if you want.......
Chonde chonde hayo yasiguswe tusije onana wabaya.tena hayo wachukue yote hata yale yanayo fugwa!
ha ha ha ha ha mkuu umeguswa pabaya!!Chonde chonde hayo yasiguswe tusije onana wabaya.
s
Mpaka CCM watoke madarakani nchi itabaki ukiwa ikisubiri uumbaji mpya!
Wametoroshea nje wanyama wetu waliokuwa wanawavutia watalii kuja kuwaona, wameua faru wooote! Na sasa wana kampeni ya kuwamaliza tembo wote. Yote haya ili watoto wao wasome vema nje, wa kwetu wafeli kwa wingi (mwaka jana tu 67% walifeli) na wa kwao watutawale milele!
Na bila ya aibu wanajinadi watatawala "milele".