donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
.
HaswaaaHao ni wazazi waliookotana Juliana na beach Kidimbwi😅!
Siwezi changia harusi ya wahuni hao hapo ndani ya miezi 3 tu ya ndoa lazma kiumane!
Acha tu mkongweAisee wazazi wanavuta shisha!!???
Hahaha, sikupingi mkuuHao ni wazazi waliookotana Juliana na beach Kidimbwi[emoji28]!
Siwezi changia harusi ya wahuni hao hapo ndani ya miezi 3 tu ya ndoa lazma kiumane!
KabisaWazazi wa kizazi kipya..
WauliweWashtakiwe.
Masela nnyaHapo mbona hamna wazazi
Hao ni wazazi waliookotana Juliana na beach Kidimbwi😅!
Siwezi changia harusi ya wahuni hao hapo ndani ya miezi 3 tu ya ndoa lazma kiumane!