Hawa ni wanawake hatari sana duniani, mwanaume ukikutana nao kimbia

Kuna mambo ambayo kiuhalisia yapo hivyo na huwezi kutabadilisha,

Upendo kwa mama upo tu na ilikuwa hivyo toka siku nyingi,

Yaani ni kwamba watoto kumpenda mama kuliko wewe hilo halizuiliki,

Just imagine toka mtoto akiwa mdogo anaumuona mama anakaa nae 24/7 mama haiwezi kusafiri akamwacha mwanae mdogo never

Wewe unatoka unavyojisikia na wala hujali mwisho wa siku utamuulizia kwa simu tu

Halafu nafikiri unajaribu kuhalalisha unachokisema hapo juu

Kusema mama ndo awe kila kitu haimaaniishi hautalea watoto wewe haimaanishi hutawanunulia vitu haimaanishi hautawapeleka siku moja moja kufurahi nao

Mama lazima awe ndo kila kitu home lakinj haina maana sasa weww ndo kabisaaa watoto hudea nao

Nikisema nitamuangalia ninayemuweza nina-include pia na kumshape,

Ninyi bhana sijui mko vipi ndo maana vilio kila siku haviishi

Bahati mbaya sana mnahisi mtu unamshape tu unavyotaka

Tabia ya mtu ni ngozi huwezi kuibadili hata kama ataficha makucha anaweza kuja kuyaonyesha mkiwa tayari na watoto kibao n umri umeenda

Hivi hijaona watu wanatengana wakiwa wameishi miaka 20 unafikiri shida inaanzia wapi?

Hujaona mwanamke anatoka au mwanaume anatoka ndoani wakiwa ndani ya ndo miaka zaidi ya 10 unafikiri shida ni nini?

Tabia haibadiliki mkuu watu huwa wanaficha makucha tu

Kuna mtu anasema girlfriend wake anamshape hivi unawajua wanawake kweli wewe?

Ipo hivi ukishakuwa na mwanamke kwenye mahusiano mwangalie ana obey rules zako

Isije ikawa unamlazimisha na ana-obey kwa shingo upande kwa sababu ndoani kuna kuchokana mkija kuchokana ndo hapo hakusikilizi tena

Kuna mwingine yupo tofauti lakini ana-switch mwenyewe kulingana na mazingira ili murndane ila huyo wa kutumia energy ohooooo
Truth is everybody is going to hurt you, you just gotta find the ones worth suffering for - Bob Marley.

Nime m quote Bob Marley nikiwa na maana tunavoongelea ku mshape mwanamke haina maana kua basi ndio atakua perfect 100% (You can't guarantee a woman)
So ku mshape tulimaanisha unamfanya aendane na falsafa zako au apunguze zile unnecessary negative things au minds.. Aache ku fake life aendane na uhalisia wa maisha na hali yako wewe muhusika, so ukishaona tayari ameelekea mienendo unayoitaka hapo ndo anakua amekua worth suffering wako kama alivosema Bob Marley hapo juu.
Na point yako.nimeielewa.

All in all at the End : Never trust a woman (Marehemu Kanumba anaongezea anasema Never trust a woman or a disability dog) tuwapende, tuwaoe, tuwagegede ila tusiwaamini 100%
 
Aisee kuna dada mmoja yan kazi take kutwa kujirekodi akijishongondoa tu, Mara arembue macho Mara alambe lambe lips zake akitoka hapo anabinua tu matak twake afu ana post! yan full vurugu, nilichogundua wanawake wa hivi wanatamaa sana yan!
Akivutiwa na mwanaume Hutu Leo kesho anamuona ngedere anamparamia mwingine . wanajionaga wazuri sana pusi hawa😎😎
 
Kuna mambo ambayo kiuhalisia yapo hivyo na huwezi kutabadilisha,

Upendo kwa mama upo tu na ilikuwa hivyo toka siku nyingi,

Yaani ni kwamba watoto kumpenda mama kuliko wewe hilo halizuiliki,

Just imagine toka mtoto akiwa mdogo anaumuona mama anakaa nae 24/7 mama haiwezi kusafiri akamwacha mwanae mdogo never

Wewe unatoka unavyojisikia na wala hujali mwisho wa siku utamuulizia kwa simu tu

Halafu nafikiri unajaribu kuhalalisha unachokisema hapo juu

Kusema mama ndo awe kila kitu haimaaniishi hautalea watoto wewe haimaanishi hutawanunulia vitu haimaanishi hautawapeleka siku moja moja kufurahi nao

Mama lazima awe ndo kila kitu home lakinj haina maana sasa weww ndo kabisaaa watoto hudea nao

Nikisema nitamuangalia ninayemuweza nina-include pia na kumshape,

Ninyi bhana sijui mko vipi ndo maana vilio kila siku haviishi

Bahati mbaya sana mnahisi mtu unamshape tu unavyotaka

Tabia ya mtu ni ngozi huwezi kuibadili hata kama ataficha makucha anaweza kuja kuyaonyesha mkiwa tayari na watoto kibao n umri umeenda

Hivi hijaona watu wanatengana wakiwa wameishi miaka 20 unafikiri shida inaanzia wapi?

Hujaona mwanamke anatoka au mwanaume anatoka ndoani wakiwa ndani ya ndo miaka zaidi ya 10 unafikiri shida ni nini?

Tabia haibadiliki mkuu watu huwa wanaficha makucha tu

Kuna mtu anasema girlfriend wake anamshape hivi unawajua wanawake kweli wewe?

Ipo hivi ukishakuwa na mwanamke kwenye mahusiano mwangalie ana obey rules zako

Isije ikawa unamlazimisha na ana-obey kwa shingo upande kwa sababu ndoani kuna kuchokana mkija kuchokana ndo hapo hakusikilizi tena

Kuna mwingine yupo tofauti lakini ana-switch mwenyewe kulingana na mazingira ili murndane ila huyo wa kutumia energy ohooooo
Mimi naamini katika maisha mwanadamu uwa ana mabadiliko,ndomana mtaani utasikia fulani alikuwa kibaka,
Fulani alikuwa kahaba
Fulani alikuwa mvuta sigar,pombe na mengni
Lakin watu hao saivi wamebadilika na wapo tofaut na tabia zao zile za dhamani,unajua kwanini,walikutana na watu wa kuwatoa katika mazingira yao na kuwaonyesha njia zingine sahihi.

Kwaiyo hata mpenzi wako vile vile na yeye tabia aliona inaweza kuwa historia kama hao wengine hapo juu.

Tembea dunia nzima hutokunatana na mwanamke wa tabia unazotaka wewe,hata akiwa na ta ia moja unayotaka nyingine hutoitaka.ndo linakuja swala la kumshape mwenzie awe wewe unavyofkiria.
 
Back
Top Bottom