Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,300
- 1,495
- Thread starter
- #81
Sana tu nimekuelewq ndoamana nataka saidizi wangu awe mpambanaji,ikifa mimi anachukua nafasi yeye,Muhimu zaidi katika ndoa ni Upendo wa dhati kati yenu, Tabia njema na kuhakikisha unaetaka kumuoa/kukuoa Anajielewa nini anataka katika maisha yake.
Halafu mwanaume kama kichwa cha familia ni wajibu wako kuhakikisha katika familia yako;
1. Kuwe na kipato endelevu
2. Kuwe na Iman/Dini
3. Afya ya familia kwa ujumla
4. Uhakika wa chakula bora
5. Uhakika wa malazi bora
6. Mavazi pia ni muhimu
7. Watoto wanapata elimu nzuri
8. Kusaidia ndugu jamaa na marafiki
Na katika majukumu yote hayo mwanamke ni msaidizi tu
Maana katika usaidizi wake atakiwa ana uzoefu wa kufanya kazi au kujishughulisha kwa ajili ya kuakikisha familia imekuwa na
Afya njema nk....
Na kama alikiwa tu mama wa nyumbani hawezi kuwa na experience yoyote ya kucare famila maana yeye amezoea tu kukaa nyumbani.
makamu wa rais anaweza kuchukua kiti cha urais kwasababu kazi za rais na yeye ufanya,kwaiyo ufanye mke wako kuwa mtu anaweza kurithi majukumu yako,utakapokuwa huna pesa,unaumwa,umefukuzwa kazi familia itabaki kuwa imara kwa vile kuna mtafutaji mwngine anaweza kukurthi kwa wakat huo na mambo yakaenda swari