Hawa ni wanawake hatari sana duniani, mwanaume ukikutana nao kimbia

Kwahiyo mkuu wewe huwa unamsaidia mkeo kufanya kazi za ndani?
Mimi sina mke ila Mungu akinijali sitaona tabu kuamka asubuhi nkamuachana kitandani mimi huku nikiandaa chai ya asubuhi
Sitaona shda yeye kwenda kazini mimi nikibak nawatunza watoto
 
Oohh kwahiyo wewe haumtawali mkeo?
Siwez kumtawala mke wangu naamn hata na yeye anaweza kufight kama mimi na tukaleta maendeleo ktk familia

Ila sasa nikijiweka mimi ndo dume nitumie udume wangu kumkandamiza nais hata watoto watafail kama mama yao,hawatokuwa na maono kwa vile mama yao alikuwa cha kupewa
 
Duuh huo ni umalioo mwanaume jukumu lake kutunza familia, kwnn vijana mnapenda 50 kwa 50.

Kukimbia majukumu ndo chanzo cha migogoro kwenye ndoa nyingi, alafu wanawake wakiwadharau mnaanza lalamika,,, mke wangu haniheshimu atakuheshimu VP wakat hutekelez mahukum yko
Nchi zilizo endlea zina majukumu sawa ktk kuhudumia familia zao hata pesa ya nyanya wanachangia ila mume anabaki kuwa mume na mke anabaki kuwa mke

Sema wewe unachembe chembe za kumdharau mume wako ndo chanzo chs matatzo kwenye ndoa
 
Pesa zako utakazokuwa umetuachia kama urithi. Vipi nami nikitangulia nani atakulea wewe na wanangu?
Kwa vile mimi mnajishughulisha nafanya kazi kwangu ni rais kuwatunza watoto

Ila wewe huwezi kwa vile huna kazi na unaamini ktk kupewa
 
Umaambiwa nimechoka wote tulikuwa kazini
Wanawke wa aina hiyo hata ukimuacha afanye kaz za nyumbani atakuambia amechoka.

Kwani kazi za kuajiriwa sinatofautiana nini na kazi za nyumbani
 
Life ya saivi kwenye swala majukumu hayegamii upande mmoja

Ndomana hata leo hii unaona marubani wa kike,na viongozi mbal mbali wa kike wakiongoza wanaume,sasa wewe ukichelewa kuamka kisa eti mm ni mwanamke,mm ndo kwanza nakuona mzigo,inabdi ufanye vitu ambavyo mpaka mume wako anakuogopa ,asema kweli ndani ninajembe na atakurshimu vya kutosha maana atajua wazi kuwa nikimuacha huyu mwenzangu mambo yataarbika,sina pakumpata mwingine.

Huoni hiyo ni heshima kwako kuliko kujiweka nyuma kuomba omba mpaka vivoha kwa mwanaume
 
Yaani wewe ndo haufai kabisa mwenzako anasema mwanamke atafute ili mwanaume asimtawale wewe unataka mwanamke atafute halafu bado mwanaume amtawale? Ni ngumu!
Mwanaume ndio mtawala, sasa usipomtawala mwanamke wako unategemea nini kama sio wanaume wenzio kumtawala na kumgonga.

Ukishindwa kumtawala mkeo maana yake amekuzidi akili na ikiwa hivyo hawezi kukuheshimu hata siku moja.
 
Muhimu zaidi katika ndoa ni Upendo wa dhati kati yenu, Tabia njema na kuhakikisha unaetaka kumuoa/kukuoa Anajielewa nini anataka katika maisha yake.

Halafu mwanaume kama kichwa cha familia ni wajibu wako kuhakikisha katika familia yako;
1. Kuwe na kipato endelevu
2. Kuwe na Iman/Dini
3. Afya ya familia kwa ujumla
4. Uhakika wa chakula bora
5. Uhakika wa malazi bora
6. Mavazi pia ni muhimu
7. Watoto wanapata elimu nzuri
8. Kusaidia ndugu jamaa na marafiki
Na katika majukumu yote hayo mwanamke ni msaidizi tu
 
Hio aina ya wanawake siku mishe zako za hela au dili zako ziki shake kidogo wahuni ni rahisi kukupigia.
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu
 
Unapokutana na kundi la wanawake wa aina hii, mwanaume mwenzangu nakushauri pita kushoto

Sipendi mwanamke wa kumtegemea mwanaume

Mwanamke ambae kuelewa ndo shuluhisho la maisha yake.

Sipendi kukutana na mwanamke ambae bila mwanaume hawezi chochote.

Siwezi kukushauri kuoa mwanamke ambae anafake maisha.

Ogopa kukutana na mwanamke ukimtongoza leo, siku hiyo hiyo bila aibu anataka atumiwe vocha.bill ya umeme,na mambo kibao

Siwapendi wanawake ambao hawajuwi kulinda heshina zao mbele ya wanaume.

Kuna aina nyengine ya wanawake hatar sana hata hawafai kuwa mke wa mtu,wanawake wale wakujibebisha wakijirekodi wenyewe, sijui uwa wana maana gani na nini maana ya kurembua rembua ukiwa mwenyewe unajirekodi then unapost

#Unaweza kuongeza na mengine yanaokukera kwa wanawake
Kwa points hizo za mwanzo, jibu ni moja tu, hauko tayari kwa ndoa.
 
Hio aina ya wanawake siku mishe zako za hela au dili zako ziki shake kidogo wahuni ni rahisi kukupigia.

Hao wafanyakazi na wajasiriamali si ndo mnalia nao siku zote au

Kupigiwa hakuna formula mke wako kama ni malaya ni malaya tu
 
Akifanya majukumu yako lazima akutawale tu hamna namna
Mwanaume ndio mtawala, sasa usipomtawala mwanamke wako unategemea nini kama sio wanaume wenzio kumtawala na kumgonga.

Ukishindwa kumtawala mkeo maana yake amekuzidi akili na ikiwa hivyo hawezi kukuheshimu hata siku moja.
 
Hao wafanyakazi na wajasiriamali si ndo mnalia nao siku zote au

Kupigiwa hakuna formula mke wako kama ni malaya ni malaya tu
Halafu mzee mbali na kupigiwa kumbuka kua kuna kufa, sasa kama mwanaume akitangulia kufa halafu akaacha watoto na mke wake alikua mama tu wanyumbani unadhani balaa lake hapo litakuaje? Ndo mwanzo wa mwanamke kuanza umalaya au kuolewa sehemu nyingine na kuacha watoto wakihangaika.
 
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu

Asante sanaaaaa.....
 
Halafu mzee mbali na kupigiwa kumbuka kua kuna kufa, sasa kama mwanaume akitangulia kufa halafu akaacha watoto na mke wake alikua mama tu wanyumbani unadhani balaa lake hapo litakuaje? Ndo mwanzo wa mwanamke kuanza umalaya au kuolewa sehemu nyingine na kuacha watoto wakihangaika.

Naona hukuelewa hata maandishi yangu sijui kama utawaelewa wanawake wewe

sijakataa kufanya kazi ila majukumu ya mwanaume ni kumhudumia mwanamke na familia yake kwa ujumla

ukiona unaanza kumkimbia mwanamke asiyekuwa na kipato au kazi tatizo ni wewe na sio yeye
 
Back
Top Bottom