Hawa ni mama na mtoto wake

LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,067
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,067 2,000
Mother and son photos cause outrage on social media

These photos of Ms Lopez and her son JayChris have been making the rounds on the Internet and it's causing a lot of outrage. According to Lopez's Facebook page, she is single and has another child, a daughter, Tia. In all her Facebook and Instagram pages, there is no photo of her kissing her daughter but there are several intimate photos of her kissing her son, as far back as when he was a lot younger. People have asked for Child protection services to be invited to her home to check her activities. More photos and comments after the cut... 
J

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Messages
3,421
Points
2,000
J

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2015
3,421 2,000
huyu mama duh anampeleka mbio mwanae si vizuri
Mtoto wa kiume huanza kupata hisia za kutamani wanawake kwa kumtamani mama yake kwanza. Ndiyo maana ni rahisi kusikia mtoto akisema 'nikiwa mkubwa nitamuoa mwanamke mzuri kama mama'. Japo hiyo kitu hupotea mtoto anapojitambua!
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,597
Points
2,000
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,597 2,000
Mtoto wa kiume huanza kupata hisia za kutamani wanawake kwa kumtamani mama yake kwanza. Ndiyo maana ni rahisi kusikia mtoto akisema 'nikiwa mkubwa nitamuoa mwanamke mzuri kama mama'. Japo hiyo kitu hupotea mtoto anapojitambua!
okey kwa hiyo ni kawaida?
 
mtimkav

mtimkav

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,042
Points
2,000
mtimkav

mtimkav

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,042 2,000
Mtoto wa kiume huanza kupata hisia za kutamani wanawake kwa kumtamani mama yake kwanza. Ndiyo maana ni rahisi kusikia mtoto akisema 'nikiwa mkubwa nitamuoa mwanamke mzuri kama mama'. Japo hiyo kitu hupotea mtoto anapojitambua!

KUNA KA UKWELI KWA MBALIII
 
J

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Messages
3,421
Points
2,000
J

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2015
3,421 2,000
kwa hiyo inabidi umkataze mtoto au?
Usimkataze maana utamuathiri ila usiipalilie kama alivyofanya huyo mdada. Usipoipalilia itaisha yenyewe, ukipalilia utashangaa mtoto anakufikisha.
 
Forum statistics

Threads 1,283,528
Members 493,720
Posts 30,792,951
Top