mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 98
[emoji75]Hivi huko shuleni mnajifunzaga au mnaharibu tu rasilimali za nchi? HESLAB ndio nini
Hata computer huwa inakosea sembuse mm?[emoji75]
Mkuu huyo tapeli ktk maswal na majb waliyotoa heslb wanadai form 6 2017 wanataka index namb tu... Vingne ni mbwembwe tuSiku hizi hatuaminiani mkuu, hiyo ngumu kumeza.
Ungetuma sh 53500.ili atoe kitu kamili.Kidogo nilitaka kutuma 50000