Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho



Huyo Jamaa amekuwa posted hapa JF kwa kazi maalumu. Fuatilia comments zake kwenye threads,
utaelewa ametoka wapi?
 

Acha propaganda dhaifu hizo mnajua kazi aliyoifanya kijana shupavu aibu zinawashika, hamtaweza mbunge mmoja wa CDM ana thamani mara 30 ya wabunge wenu magamba mtaishia kusinzia na kupiga makofu bungeni kazi tuachieni sisi CDM ndio wenye dhamana ya kuikomboa nchi hii
 

Ubungo gani unaishi mwenzangu maana ubungo kubwa! kazi gani mnyika anafanya sisi ndio tupo kwenye jimbo hatuoni chochote ila tunamuona kwenye kukiimarishs chama, kuwa mkweli ndugu yangu HALI SIO NZURI ubungo. nimewaambia nionesheni kafanya nini na ushahidi tuone, anawaambia wananchi tuandamane mamlaka ya maji kweli hilo ndio tuliomchagulia kama muwakilishi wetu? si bora akae pembeni tujue hatuna mbunge.
Be fair tutende haki wana ubungo.
 

Una haki usijue kama anaishi Dar au !!!!! Kumbe mtu mwenyewe ni wa 19th March 2012???
Gamba ilo!!!!!!
 
CCM warudie na uchaguzi wa rais waone itakuwaje? wasizungumzie ubunge tu warudie na wa urais kama hajakata roho yule mgombea wao mgonjwa wa kifafa...
 
tujikumbushe agizo la Makamba, "wana ccm wote walioshindwa uchaguzi mkuu wafungue kesi chama kitagaramia na kusimamia"
So tunayoyaona ni episode 2
 
Wabongö ndo maana wakenya wanatu-under rate.Nyie kusikia m2 kapelekwa mahakaman mnaanza kuunyaunya.Mnyika atamwaga huyo ng'umbi wenu
 
Unaongea usichokijua,Nyie magamba si ndio mlichelewesha kutangazwa ushindi wabunge wa upinzani ktk majimbo waliyoshinda?,mfano jimbo la ubungo,mpaka mlitishiwa kupigwa ndipo mshindi akatangazwa.
 
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.

Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.

that'z defame not judgment,we unamaanisha walopelekwa kortini wote wana hatia,sivyo we magamba.LEMA AKITEMWA NATEMBEA UCHI TOKA HAPA TENGERU MERU HADI KWA MKUU WA MKOA ARUSHA CITY CENTRE.pure thinking
 
yaani unaumiza kichwa wakati jibu rahisi kabisa. mwambie hawa ng'umbi ajipange 2015 anapoteza tu muda na hela zake.
 

nioneshe alofanya kilaza wasira na lusinde,nyie ndo wale magamba mnaodhani kazi ya mbunge ni kukuletea wali kinywani..shule za kayumba tabu tupu
 
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.

Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.

Watu walikesha,walizuia hujuma zisipate nafasi katika uchaguzi wa ubunge jimbo la ubungo.

Still leo hii unapata mtu analeta uzi hapa wa kumtuhumu Mnyika eti alicheza faulo. Jamani inaingia akilini?

Kama Mnyika alichaguliwa na watu.ataondolea na watu wake(wapiga kura wake) na sio kikundi cha wanaCCM.

Ikumbukwe kati ya majimbo yenye wasomi wengi ni jimbo la ubungo,sasa kama unataka kuwashawishi wanaubungo wamkatae kwa kukitukuza chama cha mapinduzi sijui kama ina ingia kwa kichwa.

Ni vema mkajipanga kwa mambo mengine,kuhusiana na Mnyika mbona ukweli upo wazi,tena Tume wangetakiwa washitakiwe kwa kuchelewesha kumtangaza mshindi,paka pale nguvu ya umma ilipotumika.
 

Fundulukumunyu weee weee weee weeee
 
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.

Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.

Uwe na tabia ya kujisomea taarifa za mwenendo wa hizi kesi(walau summary) then ndo ufanye arguments humu JF kuhusiana na kesi hizi.
Tofauti na hapo kuna kitu kinaitwa 'PUBLIC INTEREST' ni cha muhimu sana kukifahamu in detail.
Homework ya leo nnayokupa nenda google(najua hupendi daftari) ujisomee walau one hour maana ya 'maslahi ya umma' alafu urudi hapa tuendelee.
 
ngekuwa lema au mnyika ningeiomba mahakama iachane na kesi itengue mara moja ubunge wao alaf turudie uchaguzi,hapa itakuwa aibu kwa ccm kupata kura kama tano kila mgombea wao. Kwa sasa cdm haina mpinzani!
 

We mfa maji ulitaka mnyika kwa mwaka mmoja akupeni maendeleo...?? CCM miaka 50 chadema mwaka...kafieni mbali na kipindupindu kwa kutokunawa mikoni mumlaumu mnyika
 
kweli wewe ni layman- kilaza!toka lini mahakama ya kazi isikilize election cases?
Jaribu kufanya utafiti kabla ya ku-create ma uongo yako kijana, njiaya mwongo ni fupi, kawapelekee thread yako watu wa mlalo- lushoto. That case will be void abnitio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…